Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!.
Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia .
Makonda Hasafishi mtu , Kazi aloletewa ni kuisafisha CCM irudi kuaminika baada ya kupoteza mvuto.
MAKONDA hajawekwa hapo na SAMIA ,
BITEKO , hajawekwa hapo na SAMIA .
ndio maana kazi ya Makonda ni Kukitangaza CHAMA, Hatangazi mtu !!.
Endeleeni kupambana na Makonda na kumuita Kila majina ya ovyo.
Wala CCM hamna mpasuko kama ambavyo mnaaminishwa.
Uteuzi wa MAKONDA , ni utezi wa Taifa, sio CCM .
Shauri yenu !!.