Upinzani acheni kumu-underrate Makonda, mnapotezwa , Jamaa anaitangaza CCM kwelikweli, hatangazi Mtu!

Upinzani acheni kumu-underrate Makonda, mnapotezwa , Jamaa anaitangaza CCM kwelikweli, hatangazi Mtu!

Mleta mada yuko sahihi, kama tunakubaliana asilimia kubwa ya watanzania ni wajinga, wale wanaodanganyika kwa tshirts za CCM wakati wa kampeni, na kama Makonda ndio anazunguka kuwadanganya hao wajinga kwa kuongea na mawaziri, wapinzani wasidharau anachofanya makonda.

- Ni kama kitu cha kijinga kwa mwerevu, lakini kwa mjinga, ni kitu cha ajabu sana.

Hata kama CCM huiba kura, lakini kwa sasa panahitajika nguvu ya kwenda na Makonda step by step, huyu anaonekana kabisa amekuja kuifanya ile kazi ambayo Chongolo na Kinana iliwashinda, na mpaka sasa, anaifanya vyema, zitafutwe mbinu za kukabiliana nae, hata kama anachosema ni uongo, ukirudiwa sana hugeuka kweli.
 
Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!.

Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia .

Makonda Hasafishi mtu , Kazi aloletewa ni kuisafisha CCM irudi kuaminika baada ya kupoteza mvuto.

MAKONDA hajawekwa hapo na SAMIA ,
BITEKO , hajawekwa hapo na SAMIA .
ndio maana kazi ya Makonda ni Kukitangaza CHAMA, Hatangazi mtu !!.

Endeleeni kupambana na Makonda na kumuita Kila majina ya ovyo.

Wala CCM hamna mpasuko kama ambavyo mnaaminishwa.

Uteuzi wa MAKONDA , ni utezi wa Taifa, sio CCM .

Shauri yenu !!.
Tathimini inaonyesha kuwa watu wengi walio vilaza na wale wenye vyeti feki ndiyo wanakunwa sana na uchapakazi wa Makonda na matumaini makubwa kwake.
 
Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!.

Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia .

Makonda Hasafishi mtu , Kazi aloletewa ni kuisafisha CCM irudi kuaminika baada ya kupoteza mvuto.

MAKONDA hajawekwa hapo na SAMIA ,
BITEKO , hajawekwa hapo na SAMIA .
ndio maana kazi ya Makonda ni Kukitangaza CHAMA, Hatangazi mtu !!.

Endeleeni kupambana na Makonda na kumuita Kila majina ya ovyo.

Wala CCM hamna mpasuko kama ambavyo mnaaminishwa.

Uteuzi wa MAKONDA , ni utezi wa Taifa, sio CCM .

Shauri yenu !!.
Ujinga na umasikini ni kitu kibaya sana,unaitàmgaza CCM yenye miaka zaidi ya 50 ,kwani Kuna chama kingine kilisha ongoza?
 
Back
Top Bottom