Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mbona unaniangusha, nilidhani wewe ni Great Great Great Thinker!MAKONDA hajawekwa hapo na SAMIA ,
BITEKO , hajawekwa hapo na SAMIA .
ndio maana kazi ya Makonda ni Kukitangaza CHAMA, Hatangazi mtu !!.
Anaitangaza kwa lipi. Ni nani hajui uozo wa Chama Chakavu. Kwa taarifa yako aliteuliwa kwa ajili ya kupunguza nguvu ya SUKUMA GANG maana makao makuu yako pale Kolomije na yeye ndio anajua vizuri chochoro zoteKasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!.
Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia .
Makonda Hasafishi mtu , Kazi aloletewa ni kuisafisha CCM irudi kuaminika baada ya kupoteza mvuto.
MAKONDA hajawekwa hapo na SAMIA ,
BITEKO , hajawekwa hapo na SAMIA .
ndio maana kazi ya Makonda ni Kukitangaza CHAMA, Hatangazi mtu !!.
Endeleeni kupambana na Makonda na kumuita Kila majina ya ovyo.
Wala CCM hamna mpasuko kama ambavyo mnaaminishwa.
Uteuzi wa MAKONDA , ni utezi wa Taifa, sio CCM .
Shauri yenu !!.
Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!.
Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia .
Makonda Hasafishi mtu , Kazi aloletewa ni kuisafisha CCM irudi kuaminika baada ya kupoteza mvuto.
MAKONDA hajawekwa hapo na SAMIA ,
BITEKO , hajawekwa hapo na SAMIA .
ndio maana kazi ya Makonda ni Kukitangaza CHAMA, Hatangazi mtu !!.
Endeleeni kupambana na Makonda na kumuita Kila majina ya ovyo.
Wala CCM hamna mpasuko kama ambavyo mnaaminishwa.
Uteuzi wa MAKONDA , ni utezi wa Taifa, sio CCM .
Shauri yenu !!.
Mtoa mada yupo sahihi π―
Opposition msijidanganye
Atafanya damage kubwa tu so msishinde kutwa kujisemesha hana impact ukweli ni anayo sana tu..
Mrudi mpite kule anapita mpindue meza hapo mtafanikiwa

Tatizo la upinzani ni kwenda na beats za chama tawala. Yaani ccm wanaset beat upinzani wanaenda nazo, we do have a long way kuondoa hili jinamizi.
Lini na wapi wapinzani wamepambana na Makonda? Yeye anafanya yake na wapinzani wanafanya yaoKasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!.
Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia .
Makonda Hasafishi mtu , Kazi aloletewa ni kuisafisha CCM irudi kuaminika baada ya kupoteza mvuto.
MAKONDA hajawekwa hapo na SAMIA ,
BITEKO , hajawekwa hapo na SAMIA .
ndio maana kazi ya Makonda ni Kukitangaza CHAMA, Hatangazi mtu !!.
Endeleeni kupambana na Makonda na kumuita Kila majina ya ovyo.
Wala CCM hamna mpasuko kama ambavyo mnaaminishwa.
Uteuzi wa MAKONDA , ni utezi wa Taifa, sio CCM .
Shauri yenu !!.
Subiri wapigwe local election watakuja hapa jukwaani kulialia kuwa wameibiwa kura.Wanaaacha kujipanga kwa hoja wanabaki kumjadili Makonda,shida ya CHADEMA wanataka kuwageuza maadui wao kuwa maadui wa watu wengine pia.Mtoa mada yupo sahihi [emoji817]
Opposition msijidanganye
Atafanya damage kubwa tu so msishinde kutwa kujisemesha hana impact ukweli ni anayo sana tu..
Mrudi mpite kule anapita mpindue meza hapo mtafanikiwa
Hiyo CCM ilichafuka na nini hata aisafishe?Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!.
Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia .
Makonda Hasafishi mtu , Kazi aloletewa ni kuisafisha CCM irudi kuaminika baada ya kupoteza mvuto.
MAKONDA hajawekwa hapo na SAMIA ,
BITEKO , hajawekwa hapo na SAMIA .
ndio maana kazi ya Makonda ni Kukitangaza CHAMA, Hatangazi mtu !!.
Endeleeni kupambana na Makonda na kumuita Kila majina ya ovyo.
Wala CCM hamna mpasuko kama ambavyo mnaaminishwa.
Uteuzi wa MAKONDA , ni utezi wa Taifa, sio CCM .
Shauri yenu !!.
Usiwatishe watu na usintishe ntuπ€£.Kwani hivi sasa anatumia mbinu gani?Ni tofauti na za enzi ile au ni mbinu zile π€£Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!.
Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia .
Makonda Hasafishi mtu , Kazi aloletewa ni kuisafisha CCM irudi kuaminika baada ya kupoteza mvuto.
MAKONDA hajawekwa hapo na SAMIA ,
BITEKO , hajawekwa hapo na SAMIA .
ndio maana kazi ya Makonda ni Kukitangaza CHAMA, Hatangazi mtu !!.
Endeleeni kupambana na Makonda na kumuita Kila majina ya ovyo.
Wala CCM hamna mpasuko kama ambavyo mnaaminishwa.
Uteuzi wa MAKONDA , ni utezi wa Taifa, sio CCM .
Shauri yenu !!.
Ivi kwanini siku izi waenezi wa Chama chetu CCM Wanasauti kuliko hata katibu mkuu. Nakumbuka ile clip Makonda anamzingua chongolo eti usinizoee. Leo mbwa kala mbwaUpinzani wametumia strategy nzuri. Wamuache azurure na kuropoka mpaka achoke. Wapo wapi akina Shaka na Sophia Mjema nao walizunguka.
Uzuri wa makonda hana upendeleo, ukileta za kushotokushoto anakulipua tu hata kama ni mwana CCM mwenzie π π π π π πKasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!.
Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia .
Makonda Hasafishi mtu , Kazi aloletewa ni kuisafisha CCM irudi kuaminika baada ya kupoteza mvuto.
MAKONDA hajawekwa hapo na SAMIA ,
BITEKO , hajawekwa hapo na SAMIA .
ndio maana kazi ya Makonda ni Kukitangaza CHAMA, Hatangazi mtu !!.
Endeleeni kupambana na Makonda na kumuita Kila majina ya ovyo.
Wala CCM hamna mpasuko kama ambavyo mnaaminishwa.
Uteuzi wa MAKONDA , ni utezi wa Taifa, sio CCM .
Shauri yenu !!.
Niliwaambia Samia kacheza kete kubwa.Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!.
Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia .
Makonda Hasafishi mtu , Kazi aloletewa ni kuisafisha CCM irudi kuaminika baada ya kupoteza mvuto.
MAKONDA hajawekwa hapo na SAMIA ,
BITEKO , hajawekwa hapo na SAMIA .
ndio maana kazi ya Makonda ni Kukitangaza CHAMA, Hatangazi mtu !!.
Endeleeni kupambana na Makonda na kumuita Kila majina ya ovyo.
Wala CCM hamna mpasuko kama ambavyo mnaaminishwa.
Uteuzi wa MAKONDA , ni utezi wa Taifa, sio CCM .
Shauri yenu !!.
Makonda hana Jipya endelea na UCHAWA wakoKasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!.
Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia .
Makonda Hasafishi mtu , Kazi aloletewa ni kuisafisha CCM irudi kuaminika baada ya kupoteza mvuto.
MAKONDA hajawekwa hapo na SAMIA ,
BITEKO , hajawekwa hapo na SAMIA .
ndio maana kazi ya Makonda ni Kukitangaza CHAMA, Hatangazi mtu !!.
Endeleeni kupambana na Makonda na kumuita Kila majina ya ovyo.
Wala CCM hamna mpasuko kama ambavyo mnaaminishwa.
Uteuzi wa MAKONDA , ni utezi wa Taifa, sio CCM .
Shauri yenu !!.
Hedikopta[emoji1787][emoji1787]..ccm nao wanafuata bit za upinzani.
..huoni Bashite anazungumzia " hedikopta " ya Mzee Mbowe badala ya kutafuta Suluhu ya matatizo ya umeme, ukosefu wa ajira, tozo na kodi zisizolipika?
..Samia badala ya kujenga uchumi, kitu alichoahidi alipoingia madarakani, kavamia midundo ya wapinzani kuhusu katiba na tume ya uchaguzi.[emoji1787]