It's true mkuu me mwenyewe shahidi nimetembelea ukurasa wa BBC Instagram, raia hawamtaki Lissu hata kidogo.Mkuu, hakuna uchaguzi mwepesi kwa ccm kama huu!
Nmeona raia wengi sana wanamshangaa Lisu!
Ukitaka kujua hilo nenda kwenye coment za raia uone wanasemaje kuhusu Lisu, hasa kwenye page za BBC, VoA na DW.
Kiufupi Lisu hana mtaji wa watu nje ya chama chake.
Achana na haya mazombie yanayopiga kelele humu JF!
Watu wako huru wa wapwa tuinuane? Mtajua hamjui mwaka huu.Huku wengi ni ushabiki usio na mashiko!
Nenda kwenye page za ITV, EATV, BBC, VOA, DW nk kisha leta maoni ya watu kuhusu Lisu uone!
Kule ndio watu wapo huru na ni raia wa kawaida sana wako huku mitaani...
Kwa taarifa yako, hakuna mtanzania anayempinga Magufuli atathubutu kukomenti kwenye page za Instagram au Facebook. Tabia ya kuwapoteza wakosoaji ndiyo watu wanahofia hata wanaamua kunyamaza.Mkuu, hakuna uchaguzi mwepesi kwa ccm kama huu!
Nmeona raia wengi sana wanamshangaa Lisu!...
Hata yesu walimshangaaa hivyo hadi leo ana wafuasi zaidi ya 2billionMkuu, hakuna uchaguzi mwepesi kwa ccm kama huu!
Nmeona raia wengi sana wanamshangaa Lisu!..
Hakuna kitu mkuu!Kwa taarifa yako, hakuna mtanzania anayempinga Magufuli atathubutu kukomenti kwenye page za Instagram au Facebook. Tabia ya kuwapoteza wakosoaji ndiyo watu wanahofia hata wanaamua kunyamaza.
Hapa JF tunampinga wazi wazi kwa sababu hatufahamiki.
Wapwa Tuinuane campaign wanamashambulizi kuuahadaa Umma kuwa Cdm haipendwiWatu wako huru wa wapwa tuinuane? Mtajua hamjui mwaka huu.
Unasema pages ambazo ukitoa mawazo huru polisi wanakutafuta na kukuchukua maelezo?
Yule alikuwa YESU(MUNGU)Hata yesu walimshangaaa hivyo hadi leo ana wafuasi zaidi ya 2billion
Watajua kuwa hawajui mwaka huu!! Wamejazana kwenye pages za. BC, VOA, ITV na Azam huko. Sie huku tunawaangalia na kucheka kwa dharau tu!! 😀😀😀Wapwa Tuinuane campaign wanamashambulizi kuuahadaa Umma kuwa Cdm haipendwi
Unaongea kihisia zaidi! Hakuna uthibitisbo wa hicho unachodai!Watu wako huru wa wapwa tuinuane? Mtajua hamjui mwaka huu.
Unasema pages ambazo ukitoa mawazo huru polisi wanakutafuta na kukuchukua maelezo? Ukitoa mawazo huru vijana wa uvccm wanakuja kukuteka?..
Lissu mbeba maono ya watanzania..siku zote mbeba maono hafi mpk yatimie na 2020 yanatimiaYule alikuwa YESU(MUNGU)
Huyu ni Lisu.!
Unawacheka wp wkt umejificha kwa aibu?Watajua kuwa hawajui mwaka huu!! Wamejazana kwenye pages za. BC, VOA, ITV na Azam huko. Sie huku tunawaangalia na kucheka kwa dharau tu!! [emoji3][emoji3][emoji3]
Eti mbeba maono. My foot!Lissu mbeba maono ya watanzania..siku zote mbeba maono hafi mpk yatimie na 2020 yanatimia
Kwa iyo clip za Gwajima za wapwa tuinuane ni hisia????Unaongea kihisia zaidi! Hakuna uthibitisbo wa hicho unachodai!
[emoji3][emoji3][emoji3]Mkubali tu lisu hana mtaji wa watu,
Yani hao ccm iwajaze vijana kwenye hizo page alafu wengine waliofollow hizo page tangu miaka ya 2010 wamekufa ama?
Nyie endeleeni kudanganyana na hizi id zenu hazifiki 50 humu jf.
Kwahiyo Gwajima kafuta followers wa hizo page waliofollow toka 2010 alafu amewajaza wa kwake wapya?Kwa iyo clip za Gwajima za wapwa tuinuane ni hisia????
Endelea kutokuamini hvyo hvyo ..hata kurudi kwake hamkuaminiEti mbeba maono. My foot!
Hata ccm wanaamini ktk kujaza umati. Ndo maana wanatumia wasanii kwa wingi ili umati waje kuangalia wasanii maana mgombea wao kashapoteza mvutoWasalaam,
The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa.
CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka 2015 ila ni dhahiri mmeonekana kuyasahau mafunzo hayo hadi sasa Mnamuona Lissu ndiye mshindi na Kuangali miji aliyotembelea na Kupima kura zake kwa Umati.
Uzi tayari, Tukutane Oktoba 28 kila mtu ashinde mechi zake.
From Tallying Centre
View attachment 1534443View attachment 1534443
Sisi lengo letu ni kuing'oa ccm mzee. ACT wazalendo na chadema kitu kimoja.Ona ACT ni ya juzi tu lakini imewapiga bao kule Zanzibar,
Nyie mmekomaa mkubalike uchagani pekee!..
Mwaka huu hakuna ujanja ujanja.[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1534583
Anapondwa kinyama huko youtube, facebook, ni jf na twitter ndio anatambaMkuu, hakuna uchaguzi mwepesi kwa ccm kama huu!
Nmeona raia wengi sana wanamshangaa Lisu!...