Upinzani hauuliwi kwa mabavu, udikteta, vitisho na ukatili, ukitaka kuua upinzani mpe Hussein Mwinyi nchi aufute upinzani


..asante kwa ufafanuzi wako mzuri.

.. Bujibuji samahani sikukuelewa vizuri ktk hoja yako.

..pamoja na hayo mimi siamini ktk kufuta / " kuua " upinzani kwa namna au mazingira yoyote yale.

..naamini ushindani ni mzuri ktk nyanja zote za maisha, iwe michezo, biashara, siasa, elimu, etc etc.
 
..asante kwa ufafanuzi wako mzuri.

..@Bujibuji samahani sikukuelewa vizuri ktk hoja yako....
Na ni mtu wa ajabu tu ndie anaweza kutamani kuona upinzani unakufa lakini rais wetu furaha yake ni kuona upinzani unakufa! Yeye anachotaka serikali ikiamua jambo basi lipite bila upinzani wowote, na nadhani anatamani hata kufutulia mbali vyama visivyo vya kiserikali vyenye mlengo wa kuelimisha wananchi kufahamu haki na wajibu wao!
 
Dr Mwinyi ni Raia wa nchi ya Zanzibar,itakuwa vipi iwapo na Sisi raia wa Tanganyika tukatawala Zanzibar.

Hii mambo ya kutawaliwa na raia wa kigeni nalipinga kwa nguvu zote.
 
Sitashangaa siku Mwinyi akipitishwa kugombea urais Tanzania miaka ijayo, ninyi ninyi ndio mtakaokuja na hoja za kumpinga na kuonesha hafai! Wajinga sana ninyi nyumbu!
 
Sitashangaa siku Mwinyi akipitishwa kugombea urais Tanzania miaka ijayo, ninyi ninyi ndio mtakaokuja na hoja za kumpinga na kuonesha hafai! Wajinga sana ninyi nyumbu!
Tatizo mifumo yamkiccm ni kishetani sana,malaika kuwa ibilisi ni jambo la haraka sana akipita ccm!
 
Tza anaestahili kuabudiwa ni mmoja tu msianze kumchongoea ya Robert Ouko yakamfika.
Mawe ni hatari Sana kwa ujenzi wa nyumba bora
Mkuu nimekuelewa sana. Uko sahihi. Mungu apitishe mbali.
 
Kuna misamiati kibao Madege sasa Mandege cha kuchekesha sasa mmehamia kumsifu Mwinyi laiti kama mngejua kwamba Mwinyi ni mtu aina gani.....
 
Wewe ndiyo maana uliokotwa jalalani

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Akae hapa ili mumpige bomu maana kwa risasi mlishindwa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Umerudi now, watu huoo!

Zama za jiwe za giza😁😁
Ahahahahahahahaha umenikumbusha nasoma mwanza shule mojawapo ya boarding wavulana tu; ukikatika people zinavua nguo zote.. Ukirudi ghafla aisee kama mko enzi za akina Jaja of Opobo.

Saivi Jiji lina joto la kutisha afu umeme nziiii...ukirudi sasa...utaskia uooooooooooo..umenichekesha sana bro.
 
Hako ka Zanzibar unalinganisha na Tanganyika ? Pole sana. Ukiona unaota ndoto za mchana ujue karibu utakuwa chizi.
 
Kuondoa watumishi wenye vyeti fake
 
Ninyi si ndio mlisema kwamba Mwinyi amepelekwa huko Zanzibar kugombea kama kibaraka wa Tanganyika ? Leo amekuwa shujaa ? Wapinzani wenye mawazo kama haya eti uwape nchi. Mtaishia kutawala JF lakini siyo Taifa.
Aiseee kaka kama ni kweli. Basi prrsonality ya hussein mwinyi na mhe baba jesca.. ni watu tofauti kabisa.

Mmoja anabeba sura halisi za watanzania. Mwingine anapenda kuabudiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…