The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Kwa wapinzani hawa tulio nao ambao wanashangilia na kufurahia kuweza kumpigia rais simu muda wowote kama vile ni jambo la maana sana basi Tanzania kazi bado ipo.
Leo Sugu ama Joseph Mbilinyi anawaambia wanachi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni kwamba ana uwezo wa kumpigia rais muda wowote akitaka.
Hoja kuu za Chadema sasa ni kumponda Magufuli, kusifia rais, kusifia majadiliano, kumponda Magufuli tena, kumsifia rais tena, yaani hoja zao ni hizo hizo.
Jarida la the Chanzo lilifanya summary ya mada zinazozungumzwa kwenye mikutano ya Chadema toka wameanza mikutano kama picha inavyoonyesha.