Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Naunga mkono hoja! mbona serikali za mitaa walijitoa na hakuna kilichoharibika? Acha wajitoe ili wapate nafasi ya kujiandaa kwa ajili ya 2025!
Wazo lenye afya sana ni vyema kuwasusia tupate na katiba mpya kuwepo na serikali ya shirikisho. Bila kufanyiana vitimbwi hakuna kitakachowaogopesha wenye mamlaka
Vyama vikuu vingeungana na kuhamasisha ya kudai tume huru ya uchaguzi, this is the right time kufanya hivyo wasusie uchaguzi na wadai tume huru basi. Watu wengi watawaunga mkono hata mimi nitaunga mkono na huo utakuwa mwisho wa udhalimu huu. Hakika JK na Ben walitukosea sana sisi Watz.
Naunga mkono hoja , wawahamasishe wananchi mass kudai uchaguzi huru na haki , pia kudai matokeo halali sio ya kupika wananchi nguvu ya umma huwa haishindwi na utawala dhalimu wa aina yoyote ile , umma ujue wao ndio wenye mamlaka yote sio yoyote yule na wayadai waache woga hutu litaiangamiza hii nchi .
Kwa hili uko sahihi kabisa, maandalizi ya uchaguzi mwingine mpya huanza rasmi baada ya kumalizika uchaguzi uliopo kwa wakati huo.
Ila kumbuka toka mwaka 2015 walizuiliwa kufanya shughuli za kisiasa hasa kukuza na kuimarisha vyama vyao kupitia mikutano ya hadhara kwa kisingizio kwamba "muda wa siasa umekwisha sasa ni muda wa kunyoosha nchi" ila chama tawala (Ccm) wao hawakuhusika na hilo katazo hivyo waliendelea kufanya siasa kwa miaka yote mitano mfululizo.
Usiwapotoshe mkuu, itakula kwao chiefNiseme ukweli, japo mchungu, kuwa upinzani tulionao hauwezi kujitoa maana wapinzani wengi nao wanapigania vyeo si mabadiliko. Wanasema siasa inalipa! Wako tayari kushiriki uchaguzi wanaouita uchafuzi, batili na haramu ilimradi waambulie udiwani, ubunge na kura za urais za kuongezea ruzuku za vyama vyao. Wengi (si wote) wanagombea maslahi yao binafsi, si maslahi ya umma!..
Too late, halafu itawagharimu sana. Na itakuwa salama kwa nchi maana vyama vingine ndiyo hivyo vimekuwa na makando makando yakuwa na mkono wa beberu nyuma yake.Nasema itakuwa ni ushujaa na kutanguliza maslahi ya taifa, itakuwa ni njia pekee sahihi na muafaka ya kuonesha kutokubaliana na uchaguzi huu batili uliojaa hila, fitina na nia ovu.
Ndio ni maoni yako, lakini ni ya kishoga!.Nafikiri mngechukua njia ingine ya kumshauri na kupunguza yale mlokuwa mwazungumza dhidi yake majukwaani nina imani kungekuwa na suluhu.
Ndo maana akaamua kama hali itakuwa hivyo basi hakuna siasa...
Hasa JohnKila nikikumbuka kuwa binadamu hufa, nawashangaa sana ambao huwatendea wengine ubaya
Sasa mtu anafika bei unakuja kulete propaganda huku.watu wameshaakuwa wajesiriamali wanaachia nafasi kwa kisingezio mara hoo nimeenguliwaNasema itakuwa ni ushujaa na kutanguliza maslahi ya taifa, itakuwa ni njia pekee sahihi na muafaka ya kuonesha kutokubaliana na uchaguzi huu batili uliojaa hila, fitina na nia ovu.
Kama tume itakataa kuwarudisha wagombea ubunge zaidi ya 150 wa upinzani hususani ACT na CHADEMA waliowaengua kwa sababu moja ama nyingine basi upinzani ukubali tu kuwa kujitoa kushiriki uchaguzi ndiyo njia pekee sahihi na muafaka.
Mi namuita YohanaHasa John
Wazee wa kuweka mpira kwapani, wekeni mpira kwapani ingieni mtaani muione nguvu ya umma halisi.Hila gani wakati sababu za kujitoa zipo wazi? Yaani wagombea 150 wakatwe halafu useme tuna hila? Nani mwenye hila sasa hapo?
Hawa wanaoshauri upinzani kujitoa ni maccm, ili tu ccm ishinde kilaini Kama kwny serikali za mitaaHizi nyuzi za kushawishi chadema kujitoa mbona ni nyingi leo !
Wazo lenye afya sana ni vyema kuwasusia tupate na katiba mpya kuwepo na serikali ya shirikisho. Bila kufanyiana vitimbwi hakuna kitakachowaogopesha wenye mamlaka
Sasa hicho ni nini? Constructive ideas anazokubali jiwe ni kusifu na kuabudu tu, hujaunga mkono juhudi no matter lugha gani umetumia utashughulikiwa.Nafikiri mngechukua njia ingine ya kumshauri na kupunguza yale mlokuwa mwazungumza dhidi yake majukwaani nina imani kungekuwa na suluhu.
Ndo maana akaamua kama hali itakuwa hivyo basi hakuna siasa.
Na alisema kabisa kwamba chini ya utawala wake asingependa kuona watu wanaingilia juhudi zake.
Wapinzani mkubali mmekosa mbinu nzuri ambazo twaita kwa kiingereza Constructive ideas and strategies.
Hizi zinajenga na sio kubomoa urafiki na maridhiano.
Nasisitiza, haya ni maoni yangu.
Wee mwana ccm tunakuambieni hatujitoiWazo lenye afya sana ni vyema kuwasusia tupate na katiba mpya kuwepo na serikali ya shirikisho. Bila kufanyiana vitimbwi hakuna kitakachowaogopesha wenye mamlaka