NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
[emoji28]Jitoeni, kiutani utani mtashangaa Lipumba anachukua nchi mapema asubuhi
Haina shida mkuuMkisusa wao wala
Nafikiri mngechukua njia ingine ya kumshauri na kupunguza yale mlokuwa mwazungumza dhidi yake majukwaani nina imani kungekuwa na suluhu.
Ndo maana akaamua kama hali itakuwa hivyo basi hakuna siasa.
Na alisema kabisa kwamba chini ya utawala wake asingependa kuona watu wanaingilia juhudi zake.
Wapinzani mkubali mmekosa mbinu nzuri ambazo twaita kwa kiingereza Constructive ideas and strategies.
Hizi zinajenga na sio kubomoa urafiki na maridhiano.
Nasisitiza, haya ni maoni yangu.
Ndio ni maoni yako, lakini ni ya kishoga!.
Mkuu nimeona post zako zenye wingi wa busara, na masikitiko makubwa. Sasa ili twende vizuri, kwenye uzi huu huu hebu weka mbinu muafaka za kuwezesha kupatikana tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Hii itasaidia kuona uhalisia wa unachoshauri.
Huyo mbona ni mwanaccm? Mfuatilie comment zake utaelewa namaanisha nini
Mkuu nimemuuliza hayo maswali nikiwa najua fika atatoa majibu, nasubiri nione majibu yake ili nione anachosema.
Hizi nyuzi za kushawishi chadema kujitoa mbona ni nyingi leo !
Ushauri murua...hakuna sababu ya kuendelea na uchaguzi huu...
Ikiwezekana wapeane kifalme tu...
Sasa mtu anafika bei unakuja kulete propaganda huku.watu wameshaakuwa wajesiriamali wanaachia nafasi kwa kisingezio mara hoo nimeenguliwa
Nimemjibu hivi:
Niite jina lolote na ubini wowote, bado nitakuheshimu tu! Mimi naangalia umuhimu wa hoja nzito na zenye mashiko kutoka upande wowote. Kama hunijui, chama changu cha siasa ni Taifa letu la Tanzania.
Aidha, uko huru kukubaliana au kutofautiana kifikra na mimi. Ila mimi nitaheshimu utu wako, mawazo yako, chaguo lako na chama chako hata kama sikuungi mkono. La msingi ni hoja ya mtu na si chama alichonacho. Hata Nyerere alikuwa CCM lakini aliheshimu watu wote na kuheshimiwa na watu wengi (si wote) - Utaifa wetu kwanza!
Vyama vikuu vingeungana na kuhamasisha ya kudai tume huru ya uchaguzi, this is the right time kufanya hivyo wasusie uchaguzi na wadai tume huru basi. Watu wengi watawaunga mkono hata mimi nitaunga mkono na huo utakuwa mwisho wa udhalimu huu. Hakika JK na Ben walitukosea sana sisi Watz.