Uchaguzi 2020 Upinzani kujitoa kushiriki Uchaguzi Mkuu 2020 siyo uoga wala ujinga, kitakuwa ni kitendo cha ushujaa na uzalendo

Uchaguzi 2020 Upinzani kujitoa kushiriki Uchaguzi Mkuu 2020 siyo uoga wala ujinga, kitakuwa ni kitendo cha ushujaa na uzalendo

Sema Chadema wajitoe,usiusishe wapinzani wote.kwa sababu Chadema wabinafsi,CDM hukashifu wapinzani wote kuwa ni mapandikizi ya CCM.
mkiitaji jambo la kuwapa nguvu mnahusisha wapinzani wote mpate saport ila mkipanga baraza lenu la mawaziri kivuli humu jf wenzenu amuwaweki.
 
Lord Diplock MR,

Binafsi nafikiria kujitoa itakuwa KOSA KUBWA SANA na itadhoofisha/itarudisha nyuma upinzani kwa miaka kadhaa.

Kinachotakiwa ni Bunge lijalo wapendekeze baada ya siku moja ya kurudisha form; iwepo siku moja nyingine ya kurekebisha yale makosa madogo madogo ambayo hayamnyimi sifa mgombea Au pengine yaanishwe makosa yanayo mnyima mgombea nafasi ya kugombea na sio kukosea herufi ya jina.
 
Hata kama watajitoa sanasana itakua CHADEMA ACT wengine wataendelea kinachotakiwa ni wapinzani haijalishi wametoka chama gani.
 
Siyo kususia wapinzani waungane na kudai wagombea wao waondolewe mapingamizi kwa kutumia nguvu ya umma kwa kuandamana hadi NEC itakapoona hakuna haja ya kuendelea na uchaguzi, watumie nguvu ya umma kudai haki yao bila kurudi nyuma kutakapokuwa unrest ndipo itabidi tume ikae chini na kuamuwa nini kifanyike lakini siyo kujitoa.
 
Nafikiri mngechukua njia ingine ya kumshauri na kupunguza yale mlokuwa mwazungumza dhidi yake majukwaani nina imani kungekuwa na suluhu.

Ndo maana akaamua kama hali itakuwa hivyo basi hakuna siasa.

Na alisema kabisa kwamba chini ya utawala wake asingependa kuona watu wanaingilia juhudi zake.

Wapinzani mkubali mmekosa mbinu nzuri ambazo twaita kwa kiingereza Constructive ideas and strategies.

Hizi zinajenga na sio kubomoa urafiki na maridhiano.

Nasisitiza, haya ni maoni yangu.

Maridhiano gani wakati aliombwa kwenye sherehe zile na Mbowe akapotezea huyo siyo mtu wa maridhiano mwaka huu lazima wapinzani watamnyoosha tu mi najuwa pumzi itakata si muda mrefu wapinzani waongeze pressure ya ndani na nje hadi aone dunia imemlemea ngoja ashambuliwe halafu uone kama hata hatanyoosha mikono hii pressure inamkosesha hata kupumua kwa raha kila anapozidi kuonekana anafanya ubabe ndo anazidi kuingiza na hofu zaidi.
 
CCM inajijua ni dhaifu mno, bila kucheza hizi rafu mapema watajua wataumbuka vibaya mno. Tume pamoja na CCM lao ni moja... tunarudi kule kule kwenye ule uchaguzi wa ajabu ya karne wa serikali za mitaa.
 
Nimewahi kufanya mara kadhaa sikusikilizwa!
Mkuu nimeona post zako zenye wingi wa busara, na masikitiko makubwa. Sasa ili twende vizuri, kwenye uzi huu huu hebu weka mbinu muafaka za kuwezesha kupatikana tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Hii itasaidia kuona uhalisia wa unachoshauri.
 
Niite jina lolote na ubini wowote, bado nitakuheshimu tu! Mimi naangalia umuhimu wa hoja nzito na zenye mashiko kutoka upande wowote. Kama hunijui, chama changu cha siasa ni Taifa letu la Tanzania.

Aidha, uko huru kukubaliana au kutofautiana kifikra na mimi. Ila mimi nitaheshimu utu wako, mawazo yako, chaguo lako na chama chako hata kama sikuungi mkono. La msingi ni hoja ya mtu na si chama alichonacho. Hata Nyerere alikuwa CCM lakini aliheshimu watu wote na kuheshimiwa na watu wengi (si wote) - Utaifa wetu kwanza!
Huyo mbona ni mwanaccm? Mfuatilie comment zake utaelewa namaanisha nini
 
Ndugu ndugu wapinzani,

Mumeona jinsi munavyo enguliwa na hao NEC bila sababu za msingi.
Mumeona jinsi haki yenu ya uchauguzi isivyopatikana kwa watu wetu kuengulia kwa sababu ya msingi (Breaches of Fundamental rights)
Mumeona jinsi mapingamizi yenu yanatupwa bila sababu za msingi.
Hivi kweli mnavyoona mtapa haki sawa huko mbeleni? Thubutu

Kwa nini msiwafunguliwe kesi ya ubaguzi hao NEC na muiombe mahakama iistopishe NEC kuendesha au kusimamia zoezi zima la uchaguzi huu?

Kuendelea nayo hii NEC ya sasa maana yake ni kwamba:

1. Mumekubaliana na figisu zote za NEC za sasa
2. Mumekubali kwamba wakisha tangaza matokeo (Uraisi) hamtaweza kuyapinga au kuyahoji mahala popote Tanzania maana ni kinyume na sheria
3. Mumekubali kwamba uchaguzi utakuwa free na fair ingawaje yale yale yaliyotokea serikali za mitaa yanajirudia.
4. Mkiishitaki NEC kwa certificate of urgent (breaches of fundamental rights ) kwa kuwapendelea CCM au kwa kutofuata sheria za uchaguzi na kanuni zake kinachoweza kufanyika ni kati ya haya yafuatayo:

1. Mahakama kuwarudisha wagombea wote walionguliwa kwa sababu za magumashi
2. Mahakakam kuisimamisha NEC kuendela na zoezi zima la uchaguzi mpaka hapa watakopo kuwa wameonyesha kwamba wao sio biased
3. Mahakama kuagiza tume huru itayounda na watu huru.

Hii ndio njia pekee iliyobakia kwa sasa hadi 28 October.

Tarehe nyingine ya uchaguzi inaweza kupangwa (kama itakavuo amuliwa na mahakama) ili kurekebisha dosari zote za uchaguzi kurekebishwa.

Hamuwezi kuendelea na ushaguzi huu ili hali ubaguzi wa haki zenu za msingio ziko wazi... referee wenu- NEC- hana uwe3zo tena wa kusimamia zoezi zima la uchaguzi utao kuwa free an fair maana tayari amekwisha onesha uwezo wake - hana uwezo huo kwa kuusimamia

Ni ushauri tu na maoni yangu binafsi... si lazima mmchukue, msipotaka hivyo, hakuna njia ya kuyahoji matokeo wala ukiukwaj wa taratibu maana mtakuwa mmekubaliana na yote NEC iliyowafanyia.
 
Nimemjibu hivi:

Niite jina lolote na ubini wowote, bado nitakuheshimu tu! Mimi naangalia umuhimu wa hoja nzito na zenye mashiko kutoka upande wowote. Kama hunijui, chama changu cha siasa ni Taifa letu la Tanzania.

Aidha, uko huru kukubaliana au kutofautiana kifikra na mimi. Ila mimi nitaheshimu utu wako, mawazo yako, chaguo lako na chama chako hata kama sikuungi mkono. La msingi ni hoja ya mtu na si chama alichonacho. Hata Nyerere alikuwa CCM lakini aliheshimu watu wote na kuheshimiwa na watu wengi (si wote) - Utaifa wetu kwanza!
Mkuu nimemuuliza hayo maswali nikiwa najua fika atatoa majibu, nasubiri nione majibu yake ili nione anachosema.
 
Ushauri murua...hakuna sababu ya kuendelea na uchaguzi huu...

Ikiwezekana wapeane kifalme tu...

wanaweza kuendelea na mahakama ingaendea na kutoa maagizo warekebishe dosari zote ikiwemo kuamuru Tume kuwa free, fair na impartial kwa kuwaweka watu wasio egemea upande wowote na hii ndio itakuwa mwanzo wa kuwa na tume huru...
 
Nimemjibu hivi:

Niite jina lolote na ubini wowote, bado nitakuheshimu tu! Mimi naangalia umuhimu wa hoja nzito na zenye mashiko kutoka upande wowote. Kama hunijui, chama changu cha siasa ni Taifa letu la Tanzania.

Aidha, uko huru kukubaliana au kutofautiana kifikra na mimi. Ila mimi nitaheshimu utu wako, mawazo yako, chaguo lako na chama chako hata kama sikuungi mkono. La msingi ni hoja ya mtu na si chama alichonacho. Hata Nyerere alikuwa CCM lakini aliheshimu watu wote na kuheshimiwa na watu wengi (si wote) - Utaifa wetu kwanza!

Mkuu weka mbinu unayodhani tunaweza kupata tume huru ya uchaguzi au katiba mpya. Sioni umuhimu wa maelezo marefu yasiyo na uhitaji wowote kwa sasa.
 
Vyama vikuu vingeungana na kuhamasisha ya kudai tume huru ya uchaguzi, this is the right time kufanya hivyo wasusie uchaguzi na wadai tume huru basi. Watu wengi watawaunga mkono hata mimi nitaunga mkono na huo utakuwa mwisho wa udhalimu huu. Hakika JK na Ben walitukosea sana sisi Watz.

Hujafafanua vizuri wadai tume huru kwa njia ipi? Maana kama ni kudai walianza kitambo sana labda utueleze njia watakayotumia
 
Back
Top Bottom