Uchaguzi 2020 Upinzani kujitoa kushiriki Uchaguzi Mkuu 2020 siyo uoga wala ujinga, kitakuwa ni kitendo cha ushujaa na uzalendo

Uchaguzi 2020 Upinzani kujitoa kushiriki Uchaguzi Mkuu 2020 siyo uoga wala ujinga, kitakuwa ni kitendo cha ushujaa na uzalendo

Nafikiri mngechukua njia ingine ya kumshauri na kupunguza yale mlokuwa mwazungumza dhidi yake majukwaani nina imani kungekuwa na suluhu.

Ndo maana akaamua kama hali itakuwa hivyo basi hakuna siasa.

Na alisema kabisa kwamba chini ya utawala wake asingependa kuona watu wanaingilia juhudi zake.

Wapinzani mkubali mmekosa mbinu nzuri ambazo twaita kwa kiingereza Constructive ideas and strategies.

Hizi zinajenga na sio kubomoa urafiki na maridhiano.

Nasisitiza, haya ni maoni yangu.
Mwanaccm huwezi kutushauri ..jipange tu kuwa mpinzani ajaye
 
Wapinzani wetu nao wanataka vyeo hata kwa njia haramu. Hapo ndipo tutasubiri sana kuleta mabadiliko ya kweli

Mkuu nimeona post zako zenye wingi wa busara, na masikitiko makubwa. Sasa ili twende vizuri, kwenye uzi huu huu hebu weka mbinu muafaka za kuwezesha kupatikana tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Hii itasaidia kuona uhalisia wa unachoshauri.
 
Huyo mbona ni mwanaccm? Mfuatilie comment zake utaelewa namaanisha nini
 
Wagombea 150 wanaenguliwa, uchaguzi gani huu?
Piga mahesabu, ACT bara na Zanzibar ni zaidi ya 45 wameenguliwa, Pemba peke yake ni 18 bado unguja nabara Zitto kasema wanazidi 45

CHADEMA mpaka sasa ni zaidi ya 25 bara peke yake

Njoo kwa cuf kwenye majimbo yote hayo 25 na cuf walienguliwa bado baadhi ya wagombea wa NCCR,

Ukijumlisha ni zaidi ya 150 wagombea wa upinzani wameenguliwa
 
Hao sio wanachadema bali Ni vijana wa lumumba..hatujitoi na hatuwezi kujitoa
Shida hii sio kwa CCM ama CDM au ACT. Kinachotakiwa ni kuvunja huu mfumo unaonufaisha kikundi cha wahuni wachache sana. Kwa uhuni huu wa kiutawala hata sisi wana CCM kwa madai yako umemakwazo mengi sana. Shida kubwa ya jamii yetu ni ubinafsi na unafiki uliokomaa.
 
Wazo lenye afya sana ni vyema kuwasusia tupate na katiba mpya kuwepo na serikali ya shirikisho. Bila kufanyiana vitimbwi hakuna kitakachowaogopesha wenye mamlaka
Wewe unaota, yaani ujitoe kwenye uchaguzi then utake serikali ya shirikisho? Kwa kigezo kipi?
 
Wewe unaota, yaani ujitoe kwenye uchaguzi then utake serikali ya shirikisho? Kwa kigezo kipi?
Kwa uharamia unaotumika ni ngumu ila kama nchi ni ya wananchi ni rahisi na vigezo vipo...shida tunaona hii nchi ni ya watu fulani tu. Unadhani serikali ya shirikisho inakuwaje?
 
Walichokitarajia sio kilichotokea,

maana walitumwa waje ili Mamlaka zireact kisha Tanzania ionekane haina Amani na Demokrasia.

sasa kwa kuachwa huru pasi na kubuguziwa kunawapa wasiwasi kuwa kimya hiki kinamaanisha nini
 
Kwa uharamia unaotumika ni ngumu ila kama nchi ni ya wananchi ni rahisi na vigezo vipo...shida tunaona hii nchi ni ya watu fulani tu. Unadhani serikali ya shirikisho inakuwaje?
Mimi ninavyojua serikali ya shirikisho inaundwa pale wagombea wameshiriki uchaguzi na matokeo yanaonekana kubalance au Kuna ushindi mwembamba (tofauti ya kura ndogo) upande mmoja. Kwa hiyo kwa kuheshimu maamuzi ya wananchi wanafanya maridhiano ya kuunda serikali inayohusisha pande zote mbili.
 
Kumbe hivyo...fuatilia uchaguzi wa Kenya ilikuwaje mpaka kukatokea kufumuliwa kwa katiba yao na mwisho wa joka KANU
 
Vyama vikuu vingeungana na kuhamasisha ya kudai tume huru ya uchaguzi, this is the right time kufanya hivyo wasusie uchaguzi na wadai tume huru basi. Watu wengi watawaunga mkono hata mimi nitaunga mkono na huo utakuwa mwisho wa udhalimu huu. Hakika JK na Ben walitukosea sana sisi Watz.
Mkisusa wao wala
 
Kumbe hivyo...fuatilia uchaguzi wa Kenya ilikuwaje mpaka kukatokea kufumuliwa kwa katiba yao na mwisho wa joka KANU
Uchaguzi wa Kenya upi, Kama unaongelea ule KANU inaondolewa, Mwai Kibaki alimshinda Uhuru Kenyatta kwa kura nyingi tu, na wala hapakuwa na ishu na ikawa mwisho wa KANU. Uchaguzi uliofuatia ndo ulileta machafuko kwa sababu Mwai Kibaki alitoshana nguvu na Raila Odinga na inavyosemekana Odinga alishinda, kwa hiyo wakasuruhishwa na akina Mkapa ndo ikaundwa serikali ya umoja wa Kitaifa.
 
Back
Top Bottom