kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Hao sio wanachadema bali Ni vijana wa lumumba..hatujitoi na hatuwezi kujitoaHizi nyuzi za kushawishi chadema kujitoa mbona ni nyingi leo !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao sio wanachadema bali Ni vijana wa lumumba..hatujitoi na hatuwezi kujitoaHizi nyuzi za kushawishi chadema kujitoa mbona ni nyingi leo !
Mwanaccm huwezi kutushauri ..jipange tu kuwa mpinzani ajayeNafikiri mngechukua njia ingine ya kumshauri na kupunguza yale mlokuwa mwazungumza dhidi yake majukwaani nina imani kungekuwa na suluhu.
Ndo maana akaamua kama hali itakuwa hivyo basi hakuna siasa.
Na alisema kabisa kwamba chini ya utawala wake asingependa kuona watu wanaingilia juhudi zake.
Wapinzani mkubali mmekosa mbinu nzuri ambazo twaita kwa kiingereza Constructive ideas and strategies.
Hizi zinajenga na sio kubomoa urafiki na maridhiano.
Nasisitiza, haya ni maoni yangu.
Wapinzani wetu nao wanataka vyeo hata kwa njia haramu. Hapo ndipo tutasubiri sana kuleta mabadiliko ya kweli
Huyo mbona ni mwanaccm? Mfuatilie comment zake utaelewa namaanisha niniMkuu nimeona post zako zenye wingi wa busara, na masikitiko makubwa. Sasa ili twende vizuri, kwenye uzi huu huu hebu weka mbinu muafaka za kuwezesha kupatikana tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Hii itasaidia kuona uhalisia wa unachoshauri.
Piga mahesabu, ACT bara na Zanzibar ni zaidi ya 45 wameenguliwa, Pemba peke yake ni 18 bado unguja nabara Zitto kasema wanazidi 45Wagombea 150 wanaenguliwa, uchaguzi gani huu?
Huyo mbona ni mwanaccm? Mfuatilie comment zake utaelewa namaanisha nn
Shida hii sio kwa CCM ama CDM au ACT. Kinachotakiwa ni kuvunja huu mfumo unaonufaisha kikundi cha wahuni wachache sana. Kwa uhuni huu wa kiutawala hata sisi wana CCM kwa madai yako umemakwazo mengi sana. Shida kubwa ya jamii yetu ni ubinafsi na unafiki uliokomaa.Hao sio wanachadema bali Ni vijana wa lumumba..hatujitoi na hatuwezi kujitoa
Wewe unaota, yaani ujitoe kwenye uchaguzi then utake serikali ya shirikisho? Kwa kigezo kipi?Wazo lenye afya sana ni vyema kuwasusia tupate na katiba mpya kuwepo na serikali ya shirikisho. Bila kufanyiana vitimbwi hakuna kitakachowaogopesha wenye mamlaka
Kwa uharamia unaotumika ni ngumu ila kama nchi ni ya wananchi ni rahisi na vigezo vipo...shida tunaona hii nchi ni ya watu fulani tu. Unadhani serikali ya shirikisho inakuwaje?Wewe unaota, yaani ujitoe kwenye uchaguzi then utake serikali ya shirikisho? Kwa kigezo kipi?
Mimi ninavyojua serikali ya shirikisho inaundwa pale wagombea wameshiriki uchaguzi na matokeo yanaonekana kubalance au Kuna ushindi mwembamba (tofauti ya kura ndogo) upande mmoja. Kwa hiyo kwa kuheshimu maamuzi ya wananchi wanafanya maridhiano ya kuunda serikali inayohusisha pande zote mbili.Kwa uharamia unaotumika ni ngumu ila kama nchi ni ya wananchi ni rahisi na vigezo vipo...shida tunaona hii nchi ni ya watu fulani tu. Unadhani serikali ya shirikisho inakuwaje?
Kumbe hivyo...fuatilia uchaguzi wa Kenya ilikuwaje mpaka kukatokea kufumuliwa kwa katiba yao na mwisho wa joka KANUMimi ninavyojua serikali ya shirikisho inaundwa pale wagombea wameshiriki uchaguzi na matokeo yanaonekana kubalance au Kuna ushindi mwembamba (tofauti ya kura ndogo) upande mmoja. Kwa hiyo kwa kuheshimu maamuzi ya wananchi wanafanya maridhiano ya kuunda serikali inayohusisha pande zote mbili.
Mkisusa wao walaVyama vikuu vingeungana na kuhamasisha ya kudai tume huru ya uchaguzi, this is the right time kufanya hivyo wasusie uchaguzi na wadai tume huru basi. Watu wengi watawaunga mkono hata mimi nitaunga mkono na huo utakuwa mwisho wa udhalimu huu. Hakika JK na Ben walitukosea sana sisi Watz.
Uchaguzi wa Kenya upi, Kama unaongelea ule KANU inaondolewa, Mwai Kibaki alimshinda Uhuru Kenyatta kwa kura nyingi tu, na wala hapakuwa na ishu na ikawa mwisho wa KANU. Uchaguzi uliofuatia ndo ulileta machafuko kwa sababu Mwai Kibaki alitoshana nguvu na Raila Odinga na inavyosemekana Odinga alishinda, kwa hiyo wakasuruhishwa na akina Mkapa ndo ikaundwa serikali ya umoja wa Kitaifa.Kumbe hivyo...fuatilia uchaguzi wa Kenya ilikuwaje mpaka kukatokea kufumuliwa kwa katiba yao na mwisho wa joka KANU
Masikini mkubwa ww, unafikiri Mbowe anategemea ruzuku yenu?Wajitoe alafu Mbowe apate wapi ruzuku?