technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
CCM ni watata Sana kwenye mikakati kweli baada ya Program ya Lipumba kurudishwa CUF kushindwa sasa wamebadili gia angani !!
Kuna kijana mmoja mtiifu ndani ya vyama vya upinzani ndiye atakuwa kete ya mwisho kumaliza upinzani 2020 !!
Kijana huyo atafanya vile vile alivyofanya Dr slaa 2015 na kuacha mtikisiko mkubwa ndani ya upinzani!!
Kijana huyu machachari mbunge wa muhura wa pili kwenye jimbo sasa hivi yupo karibu sana na wananchi wake anafanya maendeleo!!
Kama ilivyokuwa Kwa Dr slaa alifanya makubwa katika jimbo la karatu na huyu sasa hivi ndivyo anavyofanya kwenye jimbo lake!!
Taarifa zinaenda mbali zaidi na kusema mbunge huyo kijana yeye hataondoka nchini bali atakachokifanya ni kusubiri uwaziri baada ya uchaguzi mwaka 2020!!
Atafatana na watu wengine ingawa wao hawatakuwa na mvuto kama alivyo yeye !!
Usajiri bado unaendelea mazungumzo miaka 4 mwaka wa tano usajiri unakamilika.
Sitamtaja .........
Stay tuned..........