Tetesi: Upinzani kusambaratika tena 2020

Tetesi: Upinzani kusambaratika tena 2020

wewe unapima upepo humu yawezekana umetumwa au uko kazini ukitafuta credit ilikazini kwako uendelee kuaminika. umeanzisha huu uzi ili uweze kuona ni mbunge gani watu wanamuona na wanamtegemea sana katika ukawa ili ukishapata maoni humu upeleke taarifa huko ulikotumwa au ni vile ujipatie credit kwa kuwapelekea majibu utakayopata humu....sasa nakuambia hivi hata aondoke Nassari Mnyika Lissu Mbatia ukawa itabali pale pale....maana uzi huu mwanzo ulikuwa ukiangalia chadema sasa umegonga mwamba unakuja na Ukawa.
Kwa taarifa yako kwa hali iliopo sasa ambapo hata wananchi wana hali mbaya hichi kitu hakiwezi kutokea na kawaambie kuwa kule ni kugumu..
 
Back
Top Bottom