Tetesi: Upinzani kusambaratika tena 2020

Tetesi: Upinzani kusambaratika tena 2020

kwani dr Slaa alipoondoka cdm alileta athari gani mkuu mbona mambo yaliendelea...kwa ufupi watu hawana hamu na ccm kwahiyo hata hyo kijana wako unayemficha hataweza kuleta athari yeyote.
 
Tz mpinzani wa kweli alikuwa kambona makaidi babu, tumbo waliobaki ni wapinzani uchwara
 
hivi kwa akili yako ndogo kati ya CCM na ukawa nani wapo imara yule jamaa uchwara kawakata pumzi CCM mpaka wenyewe ndani kwa ndani wanashindwa kupumua.

Hivi unashindwa nini kujibu kwa uungwana??!! kwani ni lazima uandike 'jamaa uchwara'???...Hivi unadhani au unafikiri watu wazima na akili zao hawajui unamananisha nini kwa kuandika hivyo??? Kwanini watu wengine hamjipendi??? Kwanini ujiweke katika orodha ya 'kufuatiliwa' kwa jambo ambalo ungelikwepa????
 
CCM ni watata Sana kwenye mikakati kweli baada ya Program ya Lipumba kurudishwa CUF kushindwa sasa wamebadili gia angani !!

Kuna kijana mmoja mtiifu ndani ya vyama vya upinzani ndiye atakuwa kete ya mwisho kumaliza upinzani 2020 !!

Kijana huyo atafanya vile vile alivyofanya Dr slaa 2015 na kuacha mtikisiko mkubwa ndani ya upinzani!!

Kijana huyu machachari mbunge wa muhura wa pili kwenye jimbo sasa hivi yupo karibu sana na wananchi wake anafanya maendeleo!!

Kama ilivyokuwa Kwa Dr slaa alifanya makubwa katika jimbo la karatu na huyu sasa hivi ndivyo anavyofanya kwenye jimbo lake!!

Taarifa zinaenda mbali zaidi na kusema mbunge huyo kijana yeye hataondoka nchini bali atakachokifanya ni kusubiri uwaziri baada ya uchaguzi mwaka 2020!!

Atafatana na watu wengine ingawa wao hawatakuwa na mvuto kama alivyo yeye !!

Usajiri bado unaendelea mazungumzo miaka 4 mwaka wa tano usajiri unakamilika.

Sitamtaja .........

Stay tuned..........
Intelligence yetu inajua kila kitu, sisi CHADEMA ni zaidi ya ist Kwa hiyo msihofu upinzani hautakufa.
 
CCM hawana ujanja zaidi ya kutumia rafu ambazo wanachezeana hata wenyewe kwa wenyewe,kwa kuwa wapinzani wamekomaa kwa rafu wanazochezewa na CCM,hata wakimtumia malaika aliyeko ndani ya wapinzani,wapinzani bado watashinda tu,Kama CCM waliweza kumtumia Lipumba na Slaa ambao kwa kipindi fulani walishawahi kuwatoa CCM makamasi,zaidi ya hao ni nani mpinzani wa kweli ambaye ana weza akatumiwa na CCM mpaka akafanikiwa kuusambaratisha upinzani?,Kama majabari hao wakiwemo akina Zitto,Rashid wa CUF walitumiwa na CCM kuuvuruga upinzani na bado walilambishwa Mchanga.
 
Kwani 2015 Upinzani ulisambaratika? pamoja na Dr lipumba kuondoka,na Dr Slaa kujiengua bado upinzani ulibaki imara ingawa vingozi wakuu hawakutafuta maoni ya wanachama.
 
Kweli gari la zamani matairi yana vipara..hakuna maarufu zaidi ya chama anatoka mtu anaingia mtu/watu
 
Unajua walijipiga dole wapi?, pale walipomtosa zitto na Dr.slaa wakajiona tayari ikulu ya magogoni ni yao haaaaaaaaa haaaaaa teteeteehhh uwiiiii wakajapiga mwano...uuuwiiiTUMEIBIWA!!! HAHAHAAAA😀😀😀.eti mita 200 hatutoki..hahaha tunalinda kura.wakaambiwa pigeni kura nendeni nyumbani mimi lowassa nazijua mbinu heheheeee.. machozi ya furaha yananitoka..qwiqwi.
yaani vyama vi4 vimepigwa knock out na magu. eti wakampokea mamvi, waliuziwa yai viza mchana mchana
 
Mbona mlisema utasambaratika baada ya uchaguzi?nimeamini kila watanzania 4 mmoja in kichaa
 
Huwa sikuelewi wewe technically,mara kadhaa umeonesha kuishabikia ukawa katika bandiko zako na mara nyingine unatetea cchama cha kijani.naomba uweke wazi upande uliopo mkuu
 
Back
Top Bottom