Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh teh teh teh. 2020 ukawa ni ndoto.M4C yako wapi, mbwembwe zoote,mmeisoma, CCM kwa watanzania ni kama fenesi,kwa nje halina mvuto, utamu wa ndani, wabongo ndio waujuawo,pepooz wamepondwa na fenesi.hahahahaaaaaaaaaah 😀😀😀😀😀😀😀😀mautamu tuu.
We jamaa una mambo mengi kama unga wa nganoTena inachoma
Mkuu leo unajua ni weekend tunatakiwa tucheke[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]We jamaa una mambo mengi kama unga wa ngano
Nassari kwa kweli hana sifa za kuwa chadema hii, ni mchapa kazi na hayupo kwenye vita na wengine kama walivyo bavicha wengine, jamaa ni jembe bila chenga nasema hivyo.Mnyika unaweza kuota, hawezi kuondoka upinzani kwani unafki hana. Kulikua na tetesi kua ni NASSARI Lakini muda utasema.
Unajua walijipiga dole wapi?, pale walipomtosa zitto na Dr.slaa wakajiona tayari ikulu ya magogoni ni yao haaaaaaaaa haaaaaa teteeteehhh uwiiiii wakajapiga mwano...uuuwiiiTUMEIBIWA!!! HAHAHAAAA😀😀😀.eti mita 200 hatutoki..hahaha tunalinda kura.wakaambiwa pigeni kura nendeni nyumbani mimi lowassa nazijua mbinu heheheeee.. machozi ya furaha yananitoka..qwiqwi.teh teh teh teh. 2020 ukawa ni ndoto.
Kwanza yule kijana wa mipango bwana February naona kama hayupo, Sasa sijui nani atafanya hiyo mikakatihivi kwa akili yako ndogo kati ya CCM na ukawa nani wapo imara yule jamaa uchwara kawakata pumzi CCM mpaka wenyewe ndani kwa ndani wanashindwa kupumua.
hueleweki mara Nassary mara ACT....Kijana kivuli na laana ya ubaguzi haitawaacha hadi mtafunane wenye kwa wenyewe.Nijuavyo mimi kwa Chuki waliyoijenga CCM kwa upinzani kwabana kufanya siasa, hawawezi kumpata mtu 2020! Wameshakwama kwa Lipumba labda wajaribu na ACT lakini sio UKAWA.
Acha mbwembwe za kijinga. Lea familia yako vizuri ili kesho wasiwe wambea na wanafiki kama wewe. Tunahitaji taifa lenye muono wa kimageuzi kipindi hiki na si unafiki na uzandiki. Kabla hujaandika kitu jaribu kwanza kujitafakari, je, watu watakuelewaje, watàkutafsrije, na unajiweka nafasi gani kijamii. Come on man, acha mambo ya kijinga kila wakati usio wa kijinga!!!!!!!!!!!¡;;;;;;;;;;¡¡¡¡¡, inakera sana.CCM ni watata Sana kwenye mikakati kweli baada ya Program ya Lipumba kurudishwa CUF kushindwa sasa wamebadili gia angani !!
Kuna kijana mmoja mtiifu ndani ya vyama vya upinzani ndiye atakuwa kete ya mwisho kumaliza upinzani 2020 !!
Kijana huyo atafanya vile vile alivyofanya Dr slaa 2015 na kuacha mtikisiko mkubwa ndani ya upinzani!!
Kijana huyu machachari mbunge wa muhura wa pili kwenye jimbo sasa hivi yupo karibu sana na wananchi wake anafanya maendeleo!!
Kama ilivyokuwa Kwa Dr slaa alifanya makubwa katika jimbo la karatu na huyu sasa hivi ndivyo anavyofanya kwenye jimbo lake!!
Taarifa zinaenda mbali zaidi na kusema mbunge huyo kijana yeye hataondoka nchini bali atakachokifanya ni kusubiri uwaziri baada ya uchaguzi mwaka 2020!!
Atafatana na watu wengine ingawa wao hawatakuwa na mvuto kama alivyo yeye !!
Usajiri bado unaendelea mazungumzo miaka 4 mwaka wa tano usajiri unakamilika.
Sitamtaja .........
Stay tuned..........
Hata mi naona mwisho wa ccm ni mwaka 2015-2019 ! Maana hata wale wa vijijini wameshachoka na hiki chama ! wakipiga simu toka bush kuomba msaada huwa tunawaambie mtakula mlipopeleka mboga hela zote mnazo nyie huko ndo mlichagua hiki chama cha majambazi ! Wanajuta sana ndo too late !!...
.....kwa upepo huu 2020 ...meli yetu itajaa sana abiria Mkuu
You're unorganizedAcha mbwembwe za kijinga. Lea familia yako vizuri ili kesho wasiwe wambea na wanafiki kama wewe. Tunahitaji taifa lenye muono wa kimageuzi kipindi hiki na si unafiki na uzandiki. Kabla hujaandika kitu jaribu kwanza kujitafakari, je, watu watakuelewaje, watàkutafsrije, na unajiweka nafasi gani kijamii. Come on man, acha mambo ya kijinga kila wakati usio wa kijinga!!!!!!!!!!!¡;;;;;;;;;;¡¡¡¡¡, inakera sana.
Nonsense--activate ur inactivesYou're unorganized