Uchaguzi 2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

Ila mawazo yao ndio yaliyofanyiwa kazi na serikali, sasa wale ambao kazi yao ni kupiga makofi ndio tuseme wanasaidia nini?
 
Ila mawazo yao ndio yaliyofanyiwa kazi na serikali, sasa wale ambao kazi yao ni kupiga makofi ndio tuseme wanasaidia nini?
Hata wao wenyewe huko waliko roho zinawauma kwa kinachoendelea sema ndo hawana namna tu. Kikubwa sisi watuache tu tuyaone wenyewe, miaka mitano mbona michache tu
 
upinzani Wa ukweli unaujua au unalopoka.
 
Ushauri sahihi!
 
Nakuunga mkono. Tuache rusubiri tuyaone. Hata tukioiga kelele sana system yote imeoza, iko under control ya serikali hiyohiyo ya dhuluma. Nothing can change. Tuwape Uhuru kamila na nafasi wafanye walichoahidi nasi tuone tujifunze. Labda tunawachanganya.
 
Si mlisema "sasa basi" ?? Iweje tena leo muogope maandamano?
Ndo maana tunasema Sasa basi tumewaelewa. Tunakaa kimya kupokea maendeleo aliyoahidi magufuli kuwa Kama upinzani utaondoka, Tanzania itakuwa Kama ulaya. Tunasubiri hiyo neema. Tumeondoka muwe huru kutekekeza ilani bila kuhojiwa na mtu.
 
Mmepiga kura wenyewe kwa kuwachagua mliowachagua na mwisho wa siku wameshinda lakini bado mnapiga kelele nyie wenyewe
Usijali ndugu, muda mfupi ujao wote tutapiga kelele na kuimba chorus moja. Hongera umekuwa mchangiaji mzuri sana humu JF.

Huwa tunachangia mada tu na kwa bahati mbaya wengi wetu hatujuani humu. Unaweza kumjibu mtu humu ambaye km mkionana live au kuonyeshwa kwamba huyu ni yule mwenye jina fulani JF ulikuwa unamjibu, unaweza kujiona mpumbavu na kujilaumu sana kwa sababu ya mambo yafuatayo:
1. Umri wake.
2. Ufahamu wake
3. Aina ya kazi anayofanya. Maana
kazi nyingine humuathiri
muhusika kisaikolojia.

Wakati mwingine tusameheane bure.
 
Umeandika utopolo mwingi
 
Mzee wa migazeti vipi? Tundu limekuwa kubwa sana
 

Tatizo bado hujajua kila mtu anagombea kwa maslahi yake binafsi kwanza nyie wengine ndo mnafuata. Kinachowauma zaidi upinzani sio kuwatetea bali kupoteza ugali wao, kwa sababu hizo bado malalamiko yataendelea sana ila hamna kitu wataambulia. Warudi kwenye kilimo tu mashamba bei ndogo sasa kama walitunza tule tu 500Mil twao.
 
Hujanielewa Ciril.Mtu kuanza kufanya jambo jipya wakati mwingine anaangalia kwanza anayelifanya jambo hilo anapata madhara gani.Akiona haathiriki kwa namna au nyingine na yeye anapata moyo zaidi wa kulifanya jambo hilo bila wasiwasi wowote.

Sawa Mkuu nime kuelewa japo sio kila mfano ni wa kuigwa.
 
Ingieni barabarani tuone kwanza
 
Kwa rais huyu muona mbali si rahis mjinga atokee ndani ya chama yeye amwache anamchekea tu. Huyo mjinga atatemwa na kuachwa chini kama kina Nnape na January Makamba. Magufuli jiwe jamani, hachezewi huyu malaika wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…