Uchaguzi 2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

upinzani Wa ukweli unaujua au unalopoka.
Naujuwa ila si huu wa kurupoka tu bungeni na kujipiga picha kisha kubandika Insta na Facebook ili wananchi waone kuwa unabwabwaja utumbo kama Mdee, Zitto, Lissu, Lema....wananchi tumewachoka na tumeamua kwa kishindo. Haya jiueni sasa.
 
Watanzania hawawezi kufunguka macho hata siku moja
 
MUNGU HUYU HUYU?
 
Mb
Kama wapo wazee wenye hekima na viongozi wa dini halisia watashauri kitu. Vinginevyo tutaumia Watanzania wote mbali ya kuharibu umoja, tutatengwa na jumuia za kimataifa.
Mbona china au uarabuni hawajatengw, hata rwanda tu hapa?
 
Na kikubwa ni kuwamark hao mafisi ccm ole wake mtu akilalamika vyuma vimekaza unampa chuma cha kichwa hasa polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…