Siasa ni kuwafanya watu wenye akili kuwa wajinga!!Hawa wanasiasa wawili ni wanafiki sana. Wao siasa ni biasahara na kujaza matumbo yao...
Mkuu wa kukuelewa ni wachache Sana!Hawa wanasiasa wawili ni wanafiki sana. Wao siasa ni biasahara na kujaza matumbo yao..
Hivi nikiuliza hili swali hapa jukwaani kwa mtindo huu;Acha kujifanya hujui
Umenena sawa kabisa.Mkuu wa kukuelewa ni wachache Sana!
Siasa za hawa jamaa ni kuwafanya wenye akili kuwa wajinga, misukule na manyumbu,
Ikiwa mpaka leo lufaa ya kina dada wale haijasikilizwa Wala kutolewa uwamuzi tena ipo kisheria, unaona kabisa watu welevu kufanywa wajinga na mijitu mijinga mijinga kama hiyo
Jibu ni aHivi nikiuliza hili swali hapa jukwaani kwa mtindo huu;
Wanao sababisha upinzani Nchini Tanzania usifanikiwe awamu hii ya tano ni;
a)Zitto Kabwe na Freeman Mbowe
b)Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Rais aliyeko madarakani, ccm, polisi, Katiba ya Nwaja 1977, Wakurugenzi wa Halmashauri.
c)Wananchi, Mabeberu!
Utachagua jibu gani hapo?
Umejibu vyema. Hata herufi hii 9 inaweza kusomeka kama 9 au 6 kulingana na namna utakavyo kuwa umeiweka.Jibu ni a
Hii sio sababu ya kuwa kikwazo.Viongozi wengi wa vyama vya Upinzani wanavishikilia vyama hivyo kama mali zao binafsi maana wameshainvest resources zao nyingi sana kama pesa taslimu, muda, magari, nyumba (ofisi), vipigo vya polisi, kutupwa selo etc etc.
Investment zao huenda hazijalipa sana na hawapo tayari kumuachia mtu mwingine ambaye hajawekeza chochote cha maana. Hata wale zinaowalipa hawapo tayari kuiachia hiyo neema kwa mtu mwingine.
Hii sio kwa Mbowe tu na hii inawahusu wote akina Cheyo, Mrema, Dovutwa, Rungwe, Zitto Kabwe, Lipumba etc.
Upo nje ya mada.CCM tangu TANU hadi uhuru bado mnaendelea kuwafanya watu waendelee kuwa masikini kwa kuwaita wanyonge...
Gharama za msafara wa viongozi wa CCM ni anasa huko vijijini watu wanakunywa maji kisima kimoja na mifugo yao.
CCM imefanikiwa kutengeneza hofu ya kuhoji ukweli na haki za Raia wastaafu wako taabani mafao hayaeleweki lini yanatoka huku CCM wakilipana zaidi ya millioni 10 kwa mwezi kama mshahara.
CCM imefanikiwa kivuruga zilizotarajiwa kuwa chaguzi za kidemkorasia na kuzifanya kuwa upotevu wa rasilimali fedha kupitia wizi wa kura na kuzima mitandao.
CCM imefanikiwa kuishi na kujisifu chini ya katiba inayowapa kinga watu kufanya lolote bila kuhojiwa wala kuwajibishwa mahali popote....
Mwisho niseme upinzani hauwezi kufa upinzani huanzia kwenye fikra ndio huja moyoni...pole MATAGA ATTACH=full]1718425[/ATTACH] ]