shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Tanzania hakuna upinzani kama zzk na mbowe hawatakua viongozi ktk upinzani, wengine wote ni mapanya buku
Hawa wanasiasa wawili ni wanafiki sana. Wao siasa ni biasahara na kujaza matumbo yao.
Na kwa sababu wao ndio wameshika mipini ya vyama vya Siasa vya Upinzani ni wazi kuwa wao ndio sababu ya kukwamisha siasa za upinzani hapa nchini.
Ni watu ambao wapo kwa ajili ya kutumia siasa kujaza matumbo yao. Kuhadaa wananchi, wakipata sapoti ya wananchi wanawatumia kupata kiki na pesa.
Hawa ndio kikwazo cha siasa za upinzani nchini.
View attachment 1718411