Upinzani nchini hautafanikiwa mpaka Mbowe na Zitto waachane na siasa

Kijana Mimi nilikiwa naambulia buku kadhaa za kuja kujiaibisha humu

Sasa ni wakati wa kuweka maslahi ya Umma kwanza
Maslahi ya umma ni pamoja na kuondoa upinzani njaa
 
Nilishanga Mnyika anakimbilia kufanya press conference bila kugusia Covid 19 kwa kifupi hatuna viongozi wa upinzani wanaoweza kutuvusha kutoka hapa tulipo
 
Siyo mpaka Magufuli atoke madarakani? Maana binafsi namuona yeye ni mtu hatari zaidi kwa ustawi wa upinzani nchini kuliko huyo Zitto na Mbowe. 😇
Magufuli madalakani kutoka sio leo maana ni raisi mkombozi wa taifa na Africa kwa ujumlaa.
 
Siasa ni kuwafanya watu wenye akili kuwa wajinga!!

Hao jamaa ndivyo wlivuo
Ni kama tunavyoambiwa hakuna corona tunapiga makofi. Baadaye tunaambiwa corona ipo kwenye barakoa, tunapiga tena makofi
 

Hujui siasa ww dogo, upinzani ni imani, kwa maneno marahisi upinzani ni zaidi ya vyama vya upinzani. Wanachofanya vyama vya upinzani ni kupata uungwaji mkono kwetu sisi tulio na mitazamo mbadala. Ndio maana umeona tuko na rais mwenye kiburi cha madaraka, lakini kwakuwa anatumia madaraka yake vibaya kuhujumu upinzani, yeye na chama chake wamejikuta hawana mvuto zaidi ya kutegemea vyombo vya dola kunajisi uchaguzi.
 
Kafanye research upya, hlfu njoo na finding za kutosha.

labda nikusaidie finding moja, mtu hatari zaidi kwa ajili ya USTAWI wa upinzani ni mtu mmoja anaitwa JOHN POMBE MAGUFULI, huyu anatakiwa afundishwe maana ya mfumo wa vyama vingi.
 
Hello una uhakika gani hao wakiondoka ndio kura wataacha kuiba na kutangazwa asie shinda?
 
Hujaweza ku link matendo yao yanaathiri vipi ustawi wa siasa huku wao wamekosa ubunge na chama si mtu ni taasisi ktk utendaji

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Maslahi ya umma ni pamoja na kuondoa upinzani njaa
Sema wanaojimilikisha kila kitu kwa imani kuwa ni waerevu kuliko wote,hao sio vinginevyo tupe mada uitakayo tujadili.
 
Mupuuzi wewe
 
Ccm bila kutumia vyombo vya ulinzi kuiba kura ni ndoto kushinda uchaguzi zozote zile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…