Upinzani nchini hautafanikiwa mpaka Mbowe na Zitto waachane na siasa

Tanzania hakuna upinzani kama zzk na mbowe hawatakua viongozi ktk upinzani, wengine wote ni mapanya buku
 
..vyama vya siasa viko vingi hapa Tanzania.

..kama viongozi wa ACT na CDM ni wabaya, wananchi wana hiyari ya kujiunga na vyama vingine zaidi ya 10 ambavyo vina usajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…