Huko kuna raia mazezeta?Namibia ipo kwenye uchaguzi kwa Sasa. Uchaguzi huu ulikuwa ni mgumu Kwa chama tawala Cha SWAPO ila vyama vya upinzani baadala ya kuungana vikaamua kila mmoja kupambana pekee yake mwisho wa siku SWAPO inaongoza kwa matokeo ya Sasa kwa Asilimia 48 ya kura za urais mpaka Sasa. Vyama vya upinzani vina kura Asilimia 52 ila vimegawana baina yao.
Hivyo basi, Kama vyama vya upinzani vitashiriki mwaka 2025, vianze kutengeneza umoja kwa Sasa ili visigawane kura, bila kuungana CCM itazidi kuwaonea na mwisho wa siku mtabaki kulalamika na hakuna atakayewasikiliza.
Na Rais mtarajiwa ni Mwanamama kama alivyo Samia.Namibia ipo kwenye uchaguzi kwa Sasa. Uchaguzi huu ulikuwa ni mgumu Kwa chama tawala Cha SWAPO ila vyama vya upinzani baadala ya kuungana vikaamua kila mmoja kupambana pekee yake mwisho wa siku SWAPO inaongoza kwa matokeo ya Sasa kwa Asilimia 48 ya kura za urais mpaka Sasa. Vyama vya upinzani vina kura Asilimia 52 ila vimegawana baina yao.
Hivyo basi, Kama vyama vya upinzani vitashiriki mwaka 2025, vianze kutengeneza umoja kwa Sasa ili visigawane kura, bila kuungana CCM itazidi kuwaonea na mwisho wa siku mtabaki kulalamika na hakuna atakayewasikiliza.
SWAPO ni moja ya vyama vikongwe barani Africa kimelea uhuru Naminia 1990 lakini unaona tayari kinakwenda hapa Bongo CCM ipo tangu 1955 lakini bado tunakichekea chekea.
Sio rahisiIla kwa upepo ulivyo asipopata Asilimia 50 watachuana na mgombea wa pili. Hapa mambo yanaweza kubadilika.
Watanzania ni misukule inayotembeaSWAPO ni moja ya vyama vikongwe barani Africa kimelea uhuru Naminia 1990 lakini unaona tayari kinakwenda hapa Bongo CCM ipo tangu 1955 lakini bado tunakichekea chekea.
Ulichokiandika wala hakiakisi ukweli wa siasa za vyama vingi hapa nchini.Namibia ipo kwenye uchaguzi kwa Sasa. Uchaguzi huu ulikuwa ni mgumu Kwa chama tawala Cha SWAPO ila vyama vya upinzani baadala ya kuungana vikaamua kila mmoja kupambana pekee yake mwisho wa siku SWAPO inaongoza kwa matokeo ya Sasa kwa Asilimia 48 ya kura za urais mpaka Sasa. Vyama vya upinzani vina kura Asilimia 52 ila vimegawana baina yao.
Hivyo basi, Kama vyama vya upinzani vitashiriki mwaka 2025, vianze kutengeneza umoja kwa Sasa ili visigawane kura, bila kuungana CCM itazidi kuwaonea na mwisho wa siku mtabaki kulalamika na hakuna atakayewasikiliza.
Kiukweli kabisa chama kikipata ushindi chini ya 50% inatakiwa kuwe na runoff election.Namibia ipo kwenye uchaguzi kwa Sasa. Uchaguzi huu ulikuwa ni mgumu Kwa chama tawala Cha SWAPO ila vyama vya upinzani baadala ya kuungana vikaamua kila mmoja kupambana pekee yake mwisho wa siku SWAPO inaongoza kwa matokeo ya Sasa kwa Asilimia 48 ya kura za urais mpaka Sasa. Vyama vya upinzani vina kura Asilimia 52 ila vimegawana baina yao.
Hivyo basi, Kama vyama vya upinzani vitashiriki mwaka 2025, vianze kutengeneza umoja kwa Sasa ili visigawane kura, bila kuungana CCM itazidi kuwaonea na mwisho wa siku mtabaki kulalamika na hakuna atakayewasikiliza.
Ila hizi lawama zenu huwa sizielewi, nani kasema hao wanaoshabikia mpira na muziki hawafuatilii ama kijihusisha na siasa?Raia wetu nao ni changamoto, wanaojifanya ya kwamba siasa haiwahusu wao ni Mpira na muziki basi.
Hapa weka vizuri. Upinzani una asilimia 52? Sasa inakuaje SWAPO iongozee? Katiba ya Namibia mshindi apate zaidi ya asilimia 50. Sema kura za wapinzani mmoja mmoja zikiunganishwa zinafika asilimia 52. Yaani kama vile uokote zaa mzee wa Ubwabwa, CDM, ACT, CUF nk...πππNamibia ipo kwenye uchaguzi kwa Sasa. Uchaguzi huu ulikuwa ni mgumu Kwa chama tawala Cha SWAPO ila vyama vya upinzani baadala ya kuungana vikaamua kila mmoja kupambana pekee yake mwisho wa siku SWAPO inaongoza kwa matokeo ya Sasa kwa Asilimia 48 ya kura za urais mpaka Sasa. Vyama vya upinzani vina kura Asilimia 52 ila vimegawana baina yao.
Hivyo basi, Kama vyama vya upinzani vitashiriki mwaka 2025, vianze kutengeneza umoja kwa Sasa ili visigawane kura, bila kuungana CCM itazidi kuwaonea na mwisho wa siku mtabaki kulalamika na hakuna atakayewasikiliza.
Huko walikojikita ndo kubaya kwao. Ni bora waache demokrasia ifuate mkondo wake hata wakija kushindwa wataweza kurudi tena. Lakini Kwa sasa wakiondoka hawarudi tenaNadhani Kuna wimbi la mabadiliko linakuja, SA tuliona, Botswana, Msumbiji na Sasa Namibia. Nadhani kwa Tanzania CCM imejikita kwenye vyombo vya Dola kiasi kwamba ni vigumu kukiondoa.