Katibu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2025
- 489
- 119
Sote tunakumbuka kuwa tangu nchi yetu ipate uhuru kumekuwa na ukuaji mkubwa wa siasa za upinzani.
Hali hiyo ya ukuaji imeanza tangu uchaguzi wa mwaka 1958,tukazuia vyama vingi lkn bado ndani ya TaNU kukawa na tishio la upinzani mkubwa uliotishia falsafa za Hayati Nyerere.
Wakaibuka akina Kambona na siasa za ubepari,Kasim Hanga,Abdul Babu wa znz,Tumbo Kasanga,lkn bado uccm umekuwa suluhisho la watanzania walio wengi.
Baadae mfumo wa vyama vingi ukarudishwa upya baada ya kufutwa awali,hapo kukaendana na mabadiliko ya Katiba ili kuwezesha vyama vingi kuwa huru,tishio likawa kubwa sana ambapo Wakaibuka watu wengi sana kama Mrema,Malando,Mbatia na Seif Sharif kwa znz,upinzani ukaenea hadi vyuo vikuu na taasisi za umma,nakumbuka nikiwa mhadhiri Chuo kikuu mlimani,tulibishana kwa hoja za Prof Baregu,Safari,Profesa Fimbo na kweli nisura nijiunge na upinzani lkn busara ikaniongoza kubakia chama chenye akili timamu ccm.
Vuguvugu likakua sana ilipofika 2005 pale ambapo profesa Lipumba aliitikisa nchi,lkn hakufua dafu,akapotea.
Ikaja Chadema, Wakatukana sana wakihisi ni halali hao, MBOWE akaongoza, Slaa akalalama,Mnyika akazusha,Mawazo akabwatuka lkn ccm ikabaki salama.
Akaja wa kutoka ubelgiji akaongoza matusi jukwaani,akataka watu wawe wehu kama yeye wakahisi ndio ushindi wa ikulu,mwisho akawekwa sehemu salama ili apumzike kutukana,na sasa chama cha mbelgijj kimekufa rasmi sababu matusi ya Mkurya hayavumi tena chini ya watu makini tz.
Najua wote wenye akili timamu mnakubaliana nami kuwa mwaka huu ccm inaenda kupata upinzani mkali sana wa watu makini ambao kama ccm tusipokuwa makini wanaweza kushinda uchaguzi.
Kwanza chama cha CHAUMA kimeonesha ukuaji wa kasi sana,wameteua watu imara sana wanaojua kujenga hoja,Salum Mwalim kwakweli Rais wetu samia apaswa kujipanga vizuri sana,kwa upande mwingine ACT wazalendo wako vizurr sana na ni tishio sana.
Hivyo chama changu cha CCM kwa mara ya kwanza tunaenda kushuhudia ushindani mkali sana kutoka kwa watu makini,tujipange sana ili kushinda uchaguzi sababu ukuaji wa ACT na CHAUMA ni tishio kweli.
Mwisho,nawaomba tukipigie kura cnama cha mapinduzi.