Upinzani Tanzania: Tishio kwa CCM uchaguzi 2025

Sote tunakumbuka kuwa tangu nchi yetu ipate uhuru kumekuwa na ukuaji mkubwa wa siasa za upinzani.

Hali hiyo ya ukuaji imeanza tangu uchaguzi wa mwaka 1958,tukazuia vyama vingi lkn bado ndani ya TaNU kukawa na tishio la upinzani mkubwa uliotishia falsafa za Hayati Nyerere.

Wakaibuka akina Kambona na siasa za ubepari,Kasim Hanga,Abdul Babu wa znz,Tumbo Kasanga,lkn bado uccm umekuwa suluhisho la watanzania walio wengi.

Baadae mfumo wa vyama vingi ukarudishwa upya baada ya kufutwa awali,hapo kukaendana na mabadiliko ya Katiba ili kuwezesha vyama vingi kuwa huru,tishio likawa kubwa sana ambapo Wakaibuka watu wengi sana kama Mrema,Malando,Mbatia na Seif Sharif kwa znz,upinzani ukaenea hadi vyuo vikuu na taasisi za umma,nakumbuka nikiwa mhadhiri Chuo kikuu mlimani,tulibishana kwa hoja za Prof Baregu,Safari,Profesa Fimbo na kweli nisura nijiunge na upinzani lkn busara ikaniongoza kubakia chama chenye akili timamu ccm.

Vuguvugu likakua sana ilipofika 2005 pale ambapo profesa Lipumba aliitikisa nchi,lkn hakufua dafu,akapotea.

Ikaja Chadema, Wakatukana sana wakihisi ni halali hao, MBOWE akaongoza, Slaa akalalama,Mnyika akazusha,Mawazo akabwatuka lkn ccm ikabaki salama.

Akaja wa kutoka ubelgiji akaongoza matusi jukwaani,akataka watu wawe wehu kama yeye wakahisi ndio ushindi wa ikulu,mwisho akawekwa sehemu salama ili apumzike kutukana,na sasa chama cha mbelgijj kimekufa rasmi sababu matusi ya Mkurya hayavumi tena chini ya watu makini tz.

Najua wote wenye akili timamu mnakubaliana nami kuwa mwaka huu ccm inaenda kupata upinzani mkali sana wa watu makini ambao kama ccm tusipokuwa makini wanaweza kushinda uchaguzi.

Kwanza chama cha CHAUMA kimeonesha ukuaji wa kasi sana,wameteua watu imara sana wanaojua kujenga hoja,Salum Mwalim kwakweli Rais wetu samia apaswa kujipanga vizuri sana,kwa upande mwingine ACT wazalendo wako vizurr sana na ni tishio sana.

Hivyo chama changu cha CCM kwa mara ya kwanza tunaenda kushuhudia ushindani mkali sana kutoka kwa watu makini,tujipange sana ili kushinda uchaguzi sababu ukuaji wa ACT na CHAUMA ni tishio kweli.
Mwisho,nawaomba tukipigie kura cnama cha mapinduzi.
Pumbavu
 
Ni muhimu kutumia kinga ili kuzuia kuendeleza kizazi chenye kufikiri kwa kutumia tumbo
 
Kwanza wewe ni muongo vyama vingi vilizuiwa 1965 baada ya tume iliyoongozwa na Mzee Msekwa kuja na hayo mapendekezo.
Wewe ni sehemu ya mamluki ambao mmeivuruga Chadema kwa maslahi ya ccm ambayo Ni kazi maaum kama kama anavyoita HP.
Eti siasa za Ubeligiji,wewe punguani kabisa huko Ubeligiji alijipeleka mwenyewe.
Matusi unayajua wewe!! Wewe ulikuwepo wakati wa Mtikila? Mbona hakupewa kesi ya uhaini? Mtu aliyediriki kumwambia Rais Mwinyi enzi hizo kuwa anampa ultimatum ya siku 14 awe amerudi kwao Zanzibar. Wakati huo unataka kusema serikali haikuwepo. CCM walijua Mtikila hakuwa tishio kwao na ndio sababu walimpuuza.
Sema kipindi hiki watawala wamepungiwa busara na wanachokiangalia ni maslahi yao na nyie mamluki mlioahidiwa viti maalum.
 
Uongo uko wapi,kusema kuwa mfumo wa vyama vingi ulirejeshwa '92,au kusema siasa za Bwana Lissu ni za uongo?

Soma uelewe,chadema sijawahi hata kuwaza kujiunga na chama cha ajabu kama hicho,nimesema kuwa vyama kama chaumma na act vimekuja kwa hoja,havitukani na vinaweza kushinda uchaguzi.

Hoja yako nyingine ni kuwa nimeahidiwa viti maalumu,nikwambie tu nafasi niliyonayo ni bora niendelee kuishi kwa amani na kakipato haka kadogo kuliko kwenda bungeni.

Umeelewa mfuasi wa lissu?
 
Sote tunakumbuka kuwa tangu nchi yetu ipate uhuru kumekuwa na ukuaji mkubwa wa siasa za upinzani.

Hali hiyo ya ukuaji imeanza tangu uchaguzi wa mwaka 1958,tukazuia vyama vingi lkn bado ndani ya TaNU kukawa na tishio la upinzani mkubwa uliotishia falsafa za Hayati Nyerere.

Wakaibuka akina Kambona na siasa za ubepari,Kasim Hanga,Abdul Babu wa znz,Tumbo Kasanga,lkn bado uccm umekuwa suluhisho la watanzania walio wengi.

Baadae mfumo wa vyama vingi ukarudishwa upya baada ya kufutwa awali,hapo kukaendana na mabadiliko ya Katiba ili kuwezesha vyama vingi kuwa huru,tishio likawa kubwa sana ambapo Wakaibuka watu wengi sana kama Mrema,Malando,Mbatia na Seif Sharif kwa znz,upinzani ukaenea hadi vyuo vikuu na taasisi za umma,nakumbuka nikiwa mhadhiri Chuo kikuu mlimani,tulibishana kwa hoja za Prof Baregu,Safari,Profesa Fimbo na kweli nisura nijiunge na upinzani lkn busara ikaniongoza kubakia chama chenye akili timamu ccm.

Vuguvugu likakua sana ilipofika 2005 pale ambapo profesa Lipumba aliitikisa nchi,lkn hakufua dafu,akapotea.

Ikaja Chadema, Wakatukana sana wakihisi ni halali hao, MBOWE akaongoza, Slaa akalalama,Mnyika akazusha,Mawazo akabwatuka lkn ccm ikabaki salama.

Akaja wa kutoka ubelgiji akaongoza matusi jukwaani,akataka watu wawe wehu kama yeye wakahisi ndio ushindi wa ikulu,mwisho akawekwa sehemu salama ili apumzike kutukana,na sasa chama cha mbelgijj kimekufa rasmi sababu matusi ya Mkurya hayavumi tena chini ya watu makini tz.

Najua wote wenye akili timamu mnakubaliana nami kuwa mwaka huu ccm inaenda kupata upinzani mkali sana wa watu makini ambao kama ccm tusipokuwa makini wanaweza kushinda uchaguzi.

Kwanza chama cha CHAUMA kimeonesha ukuaji wa kasi sana,wameteua watu imara sana wanaojua kujenga hoja,Salum Mwalim kwakweli Rais wetu samia apaswa kujipanga vizuri sana,kwa upande mwingine ACT wazalendo wako vizurr sana na ni tishio sana.

Hivyo chama changu cha CCM kwa mara ya kwanza tunaenda kushuhudia ushindani mkali sana kutoka kwa watu makini,tujipange sana ili kushinda uchaguzi sababu ukuaji wa ACT na CHAUMA ni tishio kweli.
Mwisho,nawaomba tukipigie kura cnama cha mapinduzi.
Duuh kwamba huyu jamaa naye ana aliwahi kuwa mhadhiri pale matopeni?
No wonders vijana wetu wapo jinsi walivyo!
 
Vijana wakoje?
Ukute wewe unaweza kuchangia 5000 ya kigodoro hapo kwa ali maua na ukagoma 1000 ya bima ya afya
 
Nyumbu we mjinga
Sawa
1000005529.jpg
 
Upinzani upi uliopo?
Vyama vyote ni makapi ya cCM ukiondoa ACT Zanzibar.
Kwa ufupi hakuna uchaguzi bali kuna uchafuzi wa raslimali za Nchi!
 
mwandiko tu tumeshakufahamu hujawahi fundisha UDSm wewe akina baregu mlikutana vikao kamati kuu ya chadema kingine mmehama chadema semeni sera zenu za ubwabwa huko
 
Ni kweli hamna sehemu nimesema nimewahi kufundisha udsm,pili sijawahi kuwa chadema, tatu,naomba mchango wako leo mlimani city tuwezeshe kampeni makini.
 
Back
Top Bottom