Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

 
CCM haina mvuto tena kwa wananchi. Baadala yake wanatumia nguvu nyingi kuua upinzani. Lakin wananchi wanamtaka Mbowe kwa udi na uvumba hata kama angekuwa sultani mara saba. Huyo ndiye mwanaume anayefaa kuidhoofisha CCM.
 
Thubutu!!! Akifanya hivyo CCM itafutiliwa mbali overnight!
 
Hivi kwa akili yako unaamini kwamba huyu anayetuongoza sasa alikuwa kwenye succession plan ya chama chake? Hata kama kwenye kikao cha Dodoma walikuminya nanahiiii..... basi usijitoa ufahamu kiasi hicho. Usije ukasadifu maana ya jina lako la Mayala
 
Kama mazingira ndani ya chadema hayako sawa je hao wa nje ya chama watawapa mazingira sawa

Sumaye

Mwambe

Wameonyesha njia

Na wame adhibiwa tayari
Wameadhibiwaje? Kwani ukigombea sharti ushinde? Ukiona unagombea halafu unaweka akili kwamba lazima wanichague, wewe hufai na kuna kitu unakitafuta.
 
mkuu hii mada ingelikuwa balanced kama pia ungezungumzia uwenyeviti katika vyama vngine kama TLP,CUF na NCCR mageuzi.Maana wengine watasema mbona wakati wa chaguzi za hivyo vyama maana ni wao ndio viongozi kwa vipindi hakukuwa na hiz kelele na mbona sasa.Infact bado tuna safari ndefu ya demokraisia hapa.
 
Kwanini yasifiti...kumbuka hao kina Chiligati na wenzake walisomeshwa uongozi pale kivukoni enzi za awamu ya kwanza.

Na wao wakayarithisha yale waliyofundishwa kwa kizazi kilichowafuata wao.

Pia fahamu kuwa hata hizi kozi kama ile kina Makonda na Dr Mkumbo waliyoifanya pale bahari beach miezi michache iliyopita ni sehemu ya succession plan.
 
Safi
 
Binafsi naamini nature ya vyama vichanga inawanyima fursa ya wa kutengeneza succession plan.Hata TANU/CCM imewachukua miaka mingi kuingia katika kuachiana madaraka na angalia Mwenyekiti wa CCM haachii akiwa Mwenyekiti tu bali akiwa na cheo kingine cha Mkuu wa nchi.
Pia vyama hivi kwa kuwa bado ni vichanga na vinajengwa bado,ushawishi wa mtu mmoja mmoja kuna wakati una manufaa sana.
La tatu ni kuwa katika mazingira haya ya kukabwa kila pembe kubadilisha viongozi wa ngazi ya juu ni kukiua chama hata kabla hakijaanza kuruka.
 
Paschali,
Kwanza; Siku hizi nawe umegeuka wa kupongeza tu kana kwamba hakuna lisilo kwenda vizuri. Hakuna kitu kisicho na kasoro vinginevyo wewe au unao watetea ni malaika!

Pili, swali lako la pili la Vyama vingi vya Upinzani kutokuwa succession plan, yamkini ni sawa na Uongozi wa kila chama unatakiwa kulichukua hili kwa jicho lenye nia njema na kulifanyia kazi. Wewe na wengine mnapokosea ni kudhani kwamba Upinzani hauna la maana kwa Taifa. Hivi uliwahi kujiuliza kwamba kwa nini JpM anafanya hayo mzauri ya kimaendeleo na kukandamiza Demokrasia? Nchi isipokuwa na Upinzani au uongozi imara usitegemee Taifa kunufaika, mifano ni mingi kuanzia kwenye familia, kazini nk.

Tatu, jisifu, sifu kushinda kama unacheza kwa kiwango kizuri na mshindani wako anamini ameshindwa kwa sababu mshindani wake amemzidi katika taratibu walizojiwekea zinazo ongoza mchezo husika.
 
Kwenye ugombea Urais alianza Mtei akaja Mbowe akaja Slaa akaja Lowassa.

Je hiyo si succcession plan?
 

hapo hapo sasa!
Kuna tatizo gani na huyu kukaa muda huo au zaidi ya huo?
Hivi mazingira ya sasa kunatofauti gani na ya Mkoloni?
by the way huoni ni magumu kuliko hata ya mkoloni?
ni wangapi walikufa au kupotea kipindi cha mkoloni?
ni wangapi walitekwa wakiwa kwenye harakati za kisiasa? kumbuka vyma vingi vilikuweo tokea enzi za mkoloni!
 
Hebu nikumbushe Mayalla Nyerere alikuwa mwenyekiti wa TANU and CCM kwa miaka mingapi? Unafikiri kwa nini alifanya hivyo. Nafikiri Mayalla umekuwa upande ambao huoni reality of things. Ni yenu ni kuona CDM kikifa kama CUF period shame on you.
 

Mie pia sijamwelewa ingawa kitu hiki nilimsikia akikiongelea hivihivi kama alivyokileta kwenye TV fulani na swali lako hili nami nilijiuliza Pascal anazungumzia succession plan ipi hasa na kwa chama gani au anazungumzia mlengwa wake Chadema tu? siku hiyo kwenye TV alijaribu kupotosha kwamba hata JPM alitayarishwa na CCM hapo ndipo nilipoelewa kuwa mahaba ni ugonjwa wa malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…