Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

Mwenyekiti amesema anamtaka lisu awe makamu sijui we ulimwelewaje

Mi nilimwelewa
Nauliza, kwani mtu akigombea sharti apite? Hata kampeni huwa zinapigwa kwamba chagua fulani lakini mchaguaji ana uhuru wa kuchagua amtakaye miongoni mwa wanaoomba kuchaguliwa na kupigiwa debe.
 
Hivi mbona huyo mbowe anawashughulisha sana enyi maccm?
Kwa kweli siyo bure. kwani Mbowe aliwanyia nini CCM ambacho wameshindwa kabisa kukisahau? Wewe Mbowe ujue Mungu anakuona, siyo siyo vizuri kuwawewezesha wenzio kiasi hicho.
 
Wanabodi,
Hili ni bandiko la maswali yenye facts
  1. Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?.
  2. Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani, mfano tunaelekea uchaguzi wa 2020, Chadema ina wabunge wa majimbo ambao wengine wame deliver na wengine hawaja deliver, hivyo uchaguzi wa 2020, wengi wanakwenda kupigwa chini na CCM!. Kwanini hakuna succession plan ya ndani kuwapima kukubalika na kuwapiga chini kabla kwa kusimamisha more able candidates wanaokubalika zaidi?.
  3. Vingi ya Vyama vya Upinzani, Vina Uongozi wa Kisultani, na sio Chadema pekee, Mzee Cheyo wa UDP, Mrema wa TLP, Lipumba wa CUF, etc. Kwanini hakuna grooming mechanism to groom their future leaders?.
  4. Hivyo jee hata uongozi wa Mhe. Freeman Mbowe ndani ya Chadema, ni kama Usultani fulani?.
  5. Jee Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema hiyo 18 Dec, ni uchaguzi kweli au ni uchaguzi kiini macho tuu?, kama utakavyokuwa Uchaguzi Mkuu wa 2020, tayari mshindi anajulikana!. Hivyo ni uchaguzi wa kukamilisha tuu taratibu kuonekane demokrasia amechukua mkondo wake? au ni uchaguzi kweli?.
  6. Kuna msemo, " no one is indispensable", no matter how good one is, huwa anafikia kiwango cha mwisho wa uwezo wake, ndio maana katiba unaweka ukomo wa uongozi, hata katiba ya Chadema ya 1992 ilikuwa na kipengele hicho, kwenye katiba ya 2006, kipengele hicho cha ukomo, kiliyeyuka, just vanish into thin air, bila kujadiliwa popote!. Jee kipengele hiki kiliyeyukaje?
  7. Waliokiweka kipengele hicho kwenye katiba ya Chadema, walikuwa na maana yao, kwa vile ile katiba ya 2006 kipengele hicho hakikuondolewa, bali kilijiondokea tuu chenyewe, kuondoka huku kwa kipengele hicho kuna maana gani kwa Chadema?.
  8. Je ni kwa kutokuwepo kwa kipengele hicho, cha ukomo ndiko kunatoa fursa ya usultani kwenye uongozi wa vyama vya siasa yenye Usultani, Jee Chadema nacho ni chama cha kisultani?, kuna Usultani?.
  9. Mkimfanyia Mhe. Mbowe a quick assessment tangu alipoitoa Chadema alipoingia kwenye uongozi mpaka hapa alipoifikisha Chadema, jee hakuna kweli wana Chadema wenye kuona mbali ambao wanao ona trends za Mhe. Mbowe kuwa japo amekifanyia mengi, makubwa na mazuri Chadema, lakini pia amefikia kiwango chake cha mwisho wa uwezo wake kwa Chadema kuhitaji kupata fresh blood?.
  10. Swali la mwisho na la msingi sana ni, jee kuendelea kwa Mhe. Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema, kwenye era hii ya changing political dynamism ya siasa za Tanzania chini ya JPM na CCM imara, Mwendelezo huu wa Uenyekiti wa Mhe. Mbowe, Jee Utakinua Zaidi Chadema kuliko hapo kilipofika, Au Utakiangamiza na sasa Chadema kinaelekea Kwishney?.
NB. Hili ni bandiko la maswali, kama una majibu ya maswali haya karibu, ukiwa huna, nakushauri jipitie tuu kimya kimya, sio lazima kuchangia kila thread.
Natanguliza shukrani.

Nawatakia Chadema maandalizi mema uchaguzi na wengine wote Jumapili Njema.

Paskali
Rejea

CCM kutwa kuwanunua wapinzani kuwabambikia kesi kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali kuwapiga risasi kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kuudhofisha upinzani, kama upinzani kuna usulutani waacheni wananchi wenyewe waamue na kama CCM ni chama pendwa cha kuiga mfano wake Mbona kwenye chaguzi za Serikali za mitaa wamekosa watu kujitokeza kwenda kupiga kura?
 
Kwa kweli siyo bure. kwani Mbowe aliwanyia nini CCM ambacho wameshindwa kabisa kukisahau? Wewe Mbowe ujue Mungu anakuona, siyo siyo vizuri kuwawewezesha wenzio kiasi hicho.
Cha ajabu eti CCM ndiyo huumiza kichwa juu ya uenyeviti wa chadema kuliko chadema wenyewe
 
Ikiwa vyama vya upinzani vina matatizo kama unavyotaka kutuaminisha, Jiwe anaogopa nini kuweka mazingira sawa ya kisiasa nchini? Kila siku ni kukamata, kutishia, kuteka, kupiga, kununua, kunyanyasa wapinzani wake......! Ajaribu kuruhusu mazingira sawa ya kisiasa aone!
Wananchi ndiyo waamuzi wa ni chama gani kizuri kibaya lakini cha ajabu wananchi wanalazimishwa waipende CCM kwa nguvu bila ridhaa yao, Uhuru wa kufanya siasa ukitolewa na CCM lazima CCM itakufa haraka kama KANU ya Kenya wananchi wameamka wanajua CCM hawapo kwa masilahi ya Taifa Bali kwa masilahi yao binafsi mmoja mmoja chukua chako mapema.
 
Mkuu sio kila swali ni swali!!!
Hivi CCM ambayo imekaa madarakani over 50yrs ina succession plan????
Au kuingia kwa Magufuli 2015 ili kuwa plan ya CCM!
 
Wanabodi,
Hili ni bandiko la maswali yenye facts
  1. Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?.
  2. Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani, mfano tunaelekea uchaguzi wa 2020, Chadema ina wabunge wa majimbo ambao wengine wame deliver na wengine hawaja deliver, hivyo uchaguzi wa 2020, wengi wanakwenda kupigwa chini na CCM!. Kwanini hakuna succession plan ya ndani kuwapima kukubalika na kuwapiga chini kabla kwa kusimamisha more able candidates wanaokubalika zaidi?.
  3. Vingi ya Vyama vya Upinzani, Vina Uongozi wa Kisultani, na sio Chadema pekee, Mzee Cheyo wa UDP, Mrema wa TLP, Lipumba wa CUF, etc. Kwanini hakuna grooming mechanism to groom their future leaders?.
  4. Hivyo jee hata uongozi wa Mhe. Freeman Mbowe ndani ya Chadema, ni kama Usultani fulani?.
  5. Jee Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema hiyo 18 Dec, ni uchaguzi kweli au ni uchaguzi kiini macho tuu?, kama utakavyokuwa Uchaguzi Mkuu wa 2020, tayari mshindi anajulikana!. Hivyo ni uchaguzi wa kukamilisha tuu taratibu kuonekane demokrasia amechukua mkondo wake? au ni uchaguzi kweli?.
  6. Kuna msemo, " no one is indispensable", no matter how good one is, huwa anafikia kiwango cha mwisho wa uwezo wake, ndio maana katiba unaweka ukomo wa uongozi, hata katiba ya Chadema ya 1992 ilikuwa na kipengele hicho, kwenye katiba ya 2006, kipengele hicho cha ukomo, kiliyeyuka, just vanish into thin air, bila kujadiliwa popote!. Jee kipengele hiki kiliyeyukaje?
  7. Waliokiweka kipengele hicho kwenye katiba ya Chadema, walikuwa na maana yao, kwa vile ile katiba ya 2006 kipengele hicho hakikuondolewa, bali kilijiondokea tuu chenyewe, kuondoka huku kwa kipengele hicho kuna maana gani kwa Chadema?.
  8. Je ni kwa kutokuwepo kwa kipengele hicho, cha ukomo ndiko kunatoa fursa ya usultani kwenye uongozi wa vyama vya siasa yenye Usultani, Jee Chadema nacho ni chama cha kisultani?, kuna Usultani?.
  9. Mkimfanyia Mhe. Mbowe a quick assessment tangu alipoitoa Chadema alipoingia kwenye uongozi mpaka hapa alipoifikisha Chadema, jee hakuna kweli wana Chadema wenye kuona mbali ambao wanao ona trends za Mhe. Mbowe kuwa japo amekifanyia mengi, makubwa na mazuri Chadema, lakini pia amefikia kiwango chake cha mwisho wa uwezo wake kwa Chadema kuhitaji kupata fresh blood?.
  10. Swali la mwisho na la msingi sana ni, jee kuendelea kwa Mhe. Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema, kwenye era hii ya changing political dynamism ya siasa za Tanzania chini ya JPM na CCM imara, Mwendelezo huu wa Uenyekiti wa Mhe. Mbowe, Jee Utakinua Zaidi Chadema kuliko hapo kilipofika, Au Utakiangamiza na sasa Chadema kinaelekea Kwishney?.
NB. Hili ni bandiko la maswali, kama una majibu ya maswali haya karibu, ukiwa huna, nakushauri jipitie tuu kimya kimya, sio lazima kuchangia kila thread.
Natanguliza shukrani.

Nawatakia Chadema maandalizi mema uchaguzi na wengine wote Jumapili Njema.

Paskali
Rejea

Kinachokwamisha hayo yote ni mazingira ya kisiasa ya nchi hii.

Km una njaa, siasa ya tz hutaiweza, na wenye wako fit kiuchumi hawataki kujiingiza upinzani(100%) coz wanahofia kushuka.

So, kumuandaa huyo succesor inahitaj kujipanga hasa, ccm inaweza kuandaa kirahisi kwa kuwa ina vyombo vyote vya kusuport incase mambo yanaenda ndivyo sivyo.
 
Paschal, una tatizo la kutokuwa consistent - au kwa kujua au kwa kutojua. Leo unawananga wapinzani kwa kukosa succession plan. Nikukumbushe haya;

a) Succession plan ziko kwenye private set up au za mashirika au za kifamilia. Hazipaswi kuwa za vyama vya kijamii tena vya kidemokrasia. Waliofanya succession plan kama unavotaka ni Laurent Kabila wa DRC, Omar Bongo wa Gabon. Hao waliwaachia watoto wao madaraka!!
b) Politics ni kitu dynamic. Katika siasa, hasa za kwetu hizi ambazo dira za taifa ni utashi binafsi wa Rais aliye madarakani - hata huyo aliyepangwa ku-succeed, atafanya yake. Sioni point yako ya kuwa na hiyo plan iko wapi!
c) Kuna sababu ya muhimu sana ya kuwaondoka viongozi waliopita katika maamuzi ya sasa. Kwa jinsi ulivoweka mada yako - unadhani JPM alikusudiwa na JMK?? Na je ungependa kuona JMK akiamua vitu gani afanya JPM?? Kama si hivo kwanini Mbowe, Mrema, Cheyo na wenzie waandae watu ambao baadae hawatakuja kufuata maamuzi ya watu hao???

Acha mambo ya succession plan yabaki kuwa na makampuni au biashara binafsi na familia. Jamii inayoongozwa na demokrasia ya mawazo tofauti - haina succession plan kwa sababu ni mazingira yatakayokuwa wakati husika ndio yatatoa kiongozi. Katika siasa, msemo huu huwa na maana kubwa “You cross the bridge when you come to it”
 
We Pascal wewe uwe na aibu hivi ccm wangekuwa na succession plan 2015 wangemsukumiza JPM kama mwenyewe anavyokili mara kwa mara kwa kinywa chake tena hadharani mchana kweupe?
 
Mnapoteza muda bure kujadili ,vyama vya upinzani bado ni vichanga,hiyo succession plan itawezekana wapi?
Hawana mbadala,hawaaminiani, they are not in position to hold ha a variety of strong and famous leaders.
 
Swali la kwenye uzi huu kesho litapata majibu.
Sina kumbukumbu nzuri ya mtu yoyote aliyeujaribu uenyekiti wa Chadema survive.
Alianza Chacha Wangwe, akaja Zitto Kabwe, Frederick Sumaye akataka ku test zali, sasa ndio Mwambe. Sikumbuki lini uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema ulikuwa na mgombea zaidi ya mmoja, usikute hata Mwambe amefikia hatua ya mwisho ya kupigiwa kura kwasababu yeye ni wa Kusini, aliaga kwao.
P
 
Eti Magufuli dikiteta! dikiteta si Yule hataki wengine hata wachukue fomu?
 
Back
Top Bottom