Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.
Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Pia soma > Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...