Upinzani tuitishe maandamano nchi nzima kupinga Ufisadi aliohamasisha Rais Samia. Wanaokwenda kuibiwa ni watanzania wote

Upinzani tuitishe maandamano nchi nzima kupinga Ufisadi aliohamasisha Rais Samia. Wanaokwenda kuibiwa ni watanzania wote

Pamoja na kwamba ukiambiwa ukweli unaishia kutukana, lakini hatutaacha kukupa makavu live. Huu ushauri peleka kwa wanaccm wenzako huko lumumba. Maana wakati mnaiba kura za wapinzani mlijua kuwa ugumu wa maisha utakuwa kwa wapinzani tu.
 
WaTz gani Unaowazungumzia?
Hawa hawa Ambao Wana Tabia ya Kuandamana wakiwa nyuma Ya Keyboard?
Hawa ni Sikio La Kufa, huwa halisikiagi dawa...!
Mange Kimambi alijaribu kuanzisha maandamano akashindwa...Akaja Uncle Lisu Akagonga Mwamba...! Hawa washazoea Kuandamana kwa Kutumia Keyboard Lakini mabarabarani Hawaji ng'o...!!
Maandamano ya kuumunga mkono PRESIDA yanaweza fana saana kuliko Maandamano ya kukataa dhuruma
 
Yaani kila kukicha tunazidi kudhalilika tu na hakuna cha kufanya
Hapo mimi nalia mwingine anafurahia kuniibia na nisikie mtu anasema eti baraka za rais hapana ni usheitani huu sasa

Maisha yenyewe magumu wao mishahara minono bado anasema wavunjeni miguu kabisa (tusibaki na senti)
 
Wewe unatukana watu hovyo. Bila shaka inatokana na hasira yakujulikana jinsi ulivyo mnafiki kwa kujiita CDM wakati wewe ni kijani pure. Inakusaidia nini kuzuga watu hapa huku ukijua kuwa wanajua wewe si mwenzao?
Mimi sio Ccm dogo, wapuuze hawa wapuuzi
 
Ana watoto mkuu
Watoto siyo kigezo kinachotumika kumwita mwanamke kuwa ni Mama.Mama ni zaidi ya kuwa na watoto.

Hapa mtaani kwetu kuna mwanamke ambae ana miaka 55 ambae hana mtoto hata mmoja lakini kila mtu huwa anamwita kuwa ni Mama.

Samia ambae ameamua kuitoa nchi sadaka kwa watu wachache hana sifa ya kuitwa Mama.Samia kama Rais mwanamke alipaswa alilee Taifa vizuri ili kuitwa Mama ila yeye amechagua kuwa fisadi.Samia ni fisadi ambalo kila mwenye pumzi anatakiwa alikatae na kulichukia.

Ukiangalia ile video pale mwanzo anasema kuwa ile ni mara ya pili ametoa msimamo/kauli ile.Hii maana yake ni kwamba alichoongea juzi hajaongea kwa kukosea au kwa bahati mbaya bali ndiyo msimamo wa Serikali yake.Sasa mwanamke kama huyu ndiye unataka kumpa sifa ya kuitwa kuwa ni Mama?
 
Let them eat, for their time shall come to pass and they wont live forever. Let them eat
 
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.

Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Ufisadi gani??....
 
Watoto siyo kigezo kinachotumika kumwita mwanamke kuwa ni Mama.Mama ni zaidi ya kuwa na watoto.

Hapa mtaani kwetu kuna mwanamke ambae ana miaka 55 ambae hana mtoto hata mmoja lakini kila mtu huwa anamwita kuwa ni Mama.

Samia ambae ameamua kuitoa nchi sadaka kwa watu wachache hana sifa ya kuitwa Mama.Samia kama Rais mwanamke alipaswa alilee Taifa vizuri ili kuitwa Mama.Samia ni fisadi ambalo kila mwenye pumzi anatakiwa alikatae na kulichukia.

Ukiangalia ile video pale mwanzo anasema kuwa ile ni mara ya pili ametoa msimamo/kauli ile.Hii maana yake ni kwamba alichoongea juzi hajaongea kwa kukosea au kwa bahati mbaya bali ndiyo msimamo wa Serikali yake.Sasa mwanamke kama huyu ndiye unataka kumpa sifa ya kumwita kuwa ni Mama?
Siamini kama ni wewe kamanda mwenzangu. Hii busara umeitoa wapi?
 
Back
Top Bottom