Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kwani wapinzani ndiyo wanao umia sana na ufisadi kuliko wana ccm kama wewe?Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.
Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Kwa kweli kauli iliyotolewa na Rais Samia ni ya aibu Sana!Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.
Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Hayo maandamano yakifanyika na watanzania woote bila kuwasakizia wapinzani itakuwa na logic.YAANI KTK VITU VYOTE HICHO NDIO KILICHOBAKIA KUTEKELEZWA NA WATANZANIA HAKUNA TAIFA AMBALO WANANCHI WALIKAA TU KAMA MAZOBA ALAFU WAKAUONA UONGOZI WA KUTUKUKA HAIPO TULIPOFIKIA SULUHISHO NI MAANDAMANO TU.
Kwani upinzani hauwezi kumobilise maandamano ya watanzania wote?Hayo maandamano yakifanyika na watanzania woote bila kuwasakizia wapinzani itakuwa na logic.
Lkn wapinzani waandamane wakati wana ccm wao wapo wanacheza bao huo ni upumbaf.
Wacha woote tuisome namba maana tupo kwenye mtumbwi mmoja.
Wapinzani tulishasema kitambo kuwa tatizo tulilo nalo kwa sasa ni mfumo mbovu ulio asisiwa na ccm.Kwa kweli kauli iliyotolewa na Rais Samia ni ya Hatari Sana!
Hebu fikiria hao wateule wake wanalipwa mamilioni ya shilingi Kila mwezi, bado anatoa baraka waibe wakiwa maofisini kwao!
Hivi watanzania mamilioni ambao wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini wanakosa hizo ajira watajisijlkiaje kufikia Rais amebariki wateule wake waweze kujitafutia tu keki ya Taifa bila kubughuziwa?[emoji3064]
Hata ukitukana matusi ya ulaya hayatakusaidia lolote.Pumbavu we shoga, kwani upinzani hauwezi kumobilise maandamano ya watanzania wote? Pumbavu kabisa. Mbwa shenzi.
Ni kawaida ukiona mtu anatukana matusi badala ya kuwa na hoja basi ujue kuwa akili imechoka na hana option zaidi ya kutukana.Kwani upinzani hauwezi kumobilise maandamano ya watanzania wote?
Matusi ndiyo lugha yenu Lumumba.Kwani upinzani hauwezi kumobilise maandamano ya watanzania wote?
Umeonaeee?Matusi ndiyo lugha yenu Lumumba.
Kwa maana yako hao wanao andaa maandamano kudai haki huwa ndiyo wahitaji wa hizo haki?WaTz gani Unaowazungumzia?
Hawa hawa Ambao Wana Tabia ya Kuandamana wakiwa nyuma Ya Keyboard?
Hawa ni Sikio La Kufa, huwa halisikiagi dawa...!
Mange Kimambi alijaribu kuanzisha maandamano akashindwa...Akaja Uncle Lisu Akagonga Mwamba...! Hawa washazoea Kuandamana kwa Kutumia Keyboard Lakini mabarabarani Hawaji ng'o...!!
Ana hasira za kutoswa na Madelu systemUmeonaeee?
Jamaa anadhani akinitukana ndiyo atanizuia kuukataa unafiki wake.
Itisheni wenyewe huko CCM, msitake kuwaangushia wapinzani zigo lisilowahusu.Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.
Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Madelu sasa hivi anafyonza bata tuAna hasira za kutoswa na Madelu system
Walivyokuwa wanaimbishwa tumeipenda wenyewe na wataisoma namba walidhani wapinzani tu ndiyo wataisoma namba.Itisheni wenyewe huko CCM, msitake kuwaangushia wapinzani zigo lisilowahusu.
Wapumbavu sana hawa watu.Walivyokuwa wanaimbishwa tumeipenda wenyewe na wataisoma namba walidhani wapinzani tu ndiyo wataisoma namba.