Upinzani tuitishe maandamano nchi nzima kupinga Ufisadi aliohamasisha Rais Samia. Wanaokwenda kuibiwa ni watanzania wote

Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.

Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.

Ni wazo zuri, lakini CHADEMA wasishirikishwe. Hao hawana track record ya kuisimamia hii agenda.

Sote tunajua kwamba agenda ya vita dhidi ya ufisadi imewahi kuwa mwana mpendwa wa CHADEMA up until 2015 walipoamua kumtelekeza very irresponsibly. Who the hell in this world would want to have a baby with an irresponsible partner such as this?
 
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.

Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Mzee wa kitovuni..
Ila nyiee nchii hii😄😄😳
 
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.

Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Akili zako ni ujazo wa kisoda
 
Wewe uko upinzani upi? Usilete ukhanisi.
 
Anahangaika bure kwa kuleta propaganda chafu hapa jf kujifanya ni mwana cdm.

Tunao mfahamu kamwe hatuwezi kumpa nafasi ya kuuchafua upinzani.
Mjinga sana, anajizungusha mwisho wa siku anaonesha chuki zake, ambazo ni juu ya Mbowe, fala sana hili jamaa
 
Umeonaeeeee?
Huyu ni zaidi ya kirusi lkn tutadeal naye wala hatafanikiwa
 
Back
Top Bottom