Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Binadamu anapenda mabadiliko, huchoka haraka na jambo moja ndani ya muda mfupi sana.
 
NI NDOTO MEMBER URAIS LABDA WA FAMILIA YAKO. MEMBER WILL NEVER EVER BE A PRESIDENT OF THIS COUNTRY.

NAONA USHAPATA FISTULA.

WATU MNAPOSIKIA JINA LA MEMBE MNAPATA HOFU YA HALI YA JUU.

NAONA TAYARI PAMPASI ISHALOWA UHARO ! ENDELEA KUVUMILIA MSUMARI UKUINGIE.

KAA UKIJUA KUWA MEMBE HAKUNA WA KUMZUIA ! NI SUALA LA WAKATI !
NAAM 2020 MEMBE FOR PRESIDENTIAL!
 
Lakini si tunachujio letu la ndani ?
Je nani atampitisha membe
Na itawezekana vipi ccm kuwa na wagombea wawili at once
Yaani mnamaanisha magu wamteme kwenye kura za maoni? Siyo rahisi kihivyo!!
hakuna kisichowezekana kama wakiruhusu kugombea japo LUMUMBA hii kitu katika demokrasia imewashinda kabisaaa inapofikia mchezo huu huwa hawakubali kabisaa kushindanisha wanaogopa aibu ya kushindwa. lakini kama mnaakili bora muwashindanishe MEMBE NA JIWE ili mpate kuokolewa
 
Ondoa neno hawezi kwa kuwa chini ya jua hakuna linaloshindana Mungu akiamua
 
CCM wanaweza kuweka historia; jamaa akaongoza miaka 5 tu akaambiwa apumzike sababu za kiafya??

Wacha tuone...dk bado zipo

Membe si wa kubeza hata kidogo!! ni mbobezi huyu anajua anachotaka kukifanya!!
 
Bavicha huwa hamjifunzi,huyo membe labda agombee kupitia chama chenu
 
Unafikiri hayo mataifa makubwa wanakupenda sana wewe "black people" kuliko raia wake? unadhani watakuja tu bila return yoyote? waafrika wamalize matatizo yao wenyewe.
Na wewe tutolee umbumbumbu wako, Kama wazungu hawana faida na Tanzania fungeni Balozi zao zote mbakie na Balozi za weusi tupu.
Wewe mwenyewe Kama siyo wazungu hata Jamiiforums usingeijua, Teknolojia walileta wasukuma,?
Hapo ulipo Kama si wewe, basi kuna jamaa yako, ndugu zako na nk wanatumia ARV za HIV, zinatolewa bure na wazungu ?kidonge kimoja ni zaidi ya sh 40,000.
Magari na silaha mnanunua Kwa wazungu, sasa Kama mna akili tumieni madini yenu kutengeneza magari, ndege na silaha.
Duniani tunaishi Kwa kushirikiana, hiyo return huitaki Kwa nini?
Jitegemeeni Kwa kila kitu Kama mnaweza.
Huyu ni Rais mbumbumbu tu anaitumbukiza nchi shimoni.
 
Unaongea kitu ambacho "HUKIFAHAMU"
Membe Ni kweli anautaka urais LAKINI Kuna kitu Ame Miss na hicho ndicho anachopambania kukipata.
akikipata Membe Ni Rais.

Sasa Nyie mpo nje hamuwezi kuelewa kitu.
 
Nikikumbuka Membe alivyokuwa anatukanwa humu nashangaa leo amekuwa mwokozi!
sasa anapendwa mkuu?
hapa ni kuwagonganisha ccm wagawanyike ili upinzani ufaidi tu
 
Unaongea kitu ambacho "HUKIFAHAMU"
Membe Ni kweli anautaka urais LAKINI Kuna kitu Ame Miss na hicho ndicho anachopambania kukipata.
akikipata Membe Ni Rais.

Sasa Nyie mpo nje hamuwezi kuelewa kitu.
ok vema mkuu wewe ndiye uko nje unashindwa kuelewa.

Mimi nipo ndani siwezi kumwaga mchele zaidi.

2020 MEMBE njia nyeupe jumba jeupe !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…