Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Huyu Rostam hastahili kutuchagulia Watanzania Rais hata siku moja. Yeye anaenjoy huko keki ya taifa anajuaje tunayopitia sisi wanyoge?! Asome alama za nyakati. Wanyonge tumechoka mno kunyanyasika na utawala huu. Tunaweka mtu mwingine magogoni. Kodi zetu ndio zimlishe huyo Jiwe, zimvishe, bado yeye na kundi lake waibe kwa maslahi yao binafsi hapo hapo watunyanyase nazo?? Huku mtu mfupi kule Dodoma (bungeni), huku Naibu Rais (RC), huku Jiwe — hatupumui kwa kweli. Mkombozi kapatikana sasa. Benard Membe for presidency.
 
Nimejitahidi kusoma comment za watu ni nami naheshimu mawazo ya wenzangu. Ila swala la watu kuanza kumpigia compaini Mr Membe naona si Sawa. Bado tunaye Rais yako madarakani, alafu harakati zinaanza hii kwangu si Sawa. Tuache Mh Rais aliyeko madarakani atekeleze Majukumu yake.

Hatutaki.. hamtuelezi kitu aisee. Tumewachoka.
 
Hivi kwani katiba ya ccm haisemi mtu akipitishwa na chama kugombea urais miaka mitano ni lazima asubiriwe hadi ahudumu kwa season zote mbili kabla ya kuitisha uchaguzi mwingine ndani ya chama kupata mgombea mwingine?

Mitano ndugu. Ili kuwatoa wazinguaji kama huyu. Sio kunyanyasa watu ukifikiri utakaa milele. CCM sasa tunaionyesha dunia kuwa sisi ni mama wa demokrasia barani Afrika. Tunafanya kweli.
 
 
Nimejitahidi kusoma comment za watu ni nami naheshimu mawazo ya wenzangu. Ila swala la watu kuanza kumpigia compaini Mr Membe naona si Sawa. Bado tunaye Rais yako madarakani, alafu harakati zinaanza hii kwangu si Sawa. Tuache Mh Rais aliyeko madarakani atekeleze Majukumu yake.
 
Chochote kile cha kijani chenye thamani ni mboga na majani zingine haramu
 
Sasa mtaelewa sababu za Ikramu Aziz kufutiwa makosa yote na Lowasa kuunga mkono juhudi na kurudi CCM.

Kumbe ndio hivyo? Na huyu mtu alishapata kutajwa kuwa ni "kingmaker" hapa bongoland! A formidable combined force of RA and EL. Membe should really watch out!
 
Ndo binaadam tulivyo ndgu, watu wameanza kumuona mwokozi baada ya kupondwapondwa na lile tingatinga

Watu wangapi walimtukana Membe? To my knowledge ni wale mashabiki wa mshindani wake mkuu. Hilo ni jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom