jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,839
- 2,963
Membe usirudi nyuma kugombea ni haki yako ya kikatiba, hata sisi tumemchoka tutakuunga mkono
Mmh kama anapita humu naomba uzingatie ombi hili la Watanzania. Tunaomba utukomboe baba. Tuko pabaya sana. Tunaimani na Membe. Membe for presidency.. 2020. Nyumbani pamenoga.!