Membe usirudi nyuma kugombea ni haki yako ya kikatiba, hata sisi tumemchoka tutakuunga mkono
UJUMBE UMEFIKAMmh kama anapita humu naomba uzingatie ombi hili la Watanzania. Tunaomba utukomboe baba. Tuko pabaya sana. Tunaimani na Membe. Membe for presidency.. 2020. Nyumbani pamenoga.!
Nimejitahidi kusoma comment za watu ni nami naheshimu mawazo ya wenzangu. Ila swala la watu kuanza kumpigia compaini Mr Membe naona si Sawa. Bado tunaye Rais yako madarakani, alafu harakati zinaanza hii kwangu si Sawa. Tuache Mh Rais aliyeko madarakani atekeleze Majukumu yake.
Hivi kwani katiba ya ccm haisemi mtu akipitishwa na chama kugombea urais miaka mitano ni lazima asubiriwe hadi ahudumu kwa season zote mbili kabla ya kuitisha uchaguzi mwingine ndani ya chama kupata mgombea mwingine?
Huyu muuza pembe za ndovu anaongea nini?
Nimejitahidi kusoma comment za watu ni nami naheshimu mawazo ya wenzangu. Ila swala la watu kuanza kumpigia compaini Mr Membe naona si Sawa. Bado tunaye Rais yako madarakani, alafu harakati zinaanza hii kwangu si Sawa. Tuache Mh Rais aliyeko madarakani atekeleze Majukumu yake.
Sometimes VITA VYA PANZI neema Kwa kunguru....
Kuna wakati unakuwa huna option, MAANA UNAPEWA ALIYEKO AMESHAKUBOA
Sasa mtaelewa sababu za Ikramu Aziz kufutiwa makosa yote na Lowasa kuunga mkono juhudi na kurudi CCM.
Sijui nitukaneee au nini? Membe kuwa Rais ni sawa na kusema shetani awe Popo
Ndo binaadam tulivyo ndgu, watu wameanza kumuona mwokozi baada ya kupondwapondwa na lile tingatinga
The enemy of my enemy is my friend.Nikikumbuka Membe alivyokuwa anatukanwa humu nashangaa leo amekuwa mwokozi!