Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Anatamani kazi nyingi mno; IGP, ubunge wa Arumeru Mashariki, u padre, u waziri wa michezo, u malaika mkuu.

Haaa haaa.Sky tuwasiliane inbox please. si kwa ulichoandika,la hasha! Ni suala jingine
 
Nikikumbuka Membe alivyokuwa anatukanwa humu nashangaa leo amekuwa mwokozi!
Hahaha labda ni sababu waliekua wanamuona mwokozi wao amegeuka mchohozi hivyo huyo aliekua anatukanwa anaonekana anafaa labda
 
Swali ni je, kutakuwa na kura za maoni kwenye post ya Urais?
 
Ukimya mkuu una mshindo mkuu,bushstars awatoamini ni kufa kupona kati ya Giza Na Nuru.
 
Back
Top Bottom