barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hivi nyie watu mbona mnajitoa ufahamu?
Sisiemu walishampitisha mgombea wa 2020 labda membe kupitia upinzani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We tulia mnufaika wa upigajiHivi nyie watu mbona mnajitoa ufahamu?
Sisiemu walishampitisha mgombea wa 2020 labda membe kupitia upinzani!
Mnajitoa ufahamu au hamna akili?We tulia mnufaika wa upigaji
Mnajitoa ufahamu au hamna akili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga kabisaAnatamani kazi nyingi mno; IGP, ubunge wa Arumeru Mashariki, u padre, u waziri wa michezo, u malaika mkuu.
Unaongelea Mahaba.PREPARE PHYSCHOGICALY ! WATU WANASUBIRI 2020 WAFANYE YAO !
NAAM MEMBE FOR PRESIDENTIAL 2020
what?Unaongelea Mahaba.
kambi ya "Mshua"
inatafuta Backups.
wakipata Backup
Membe anakuwa President
coz Kuna kila dalili "Jw"
akazimishwa "Kf"
Kabla ya 20
unaota wewe unafikili ni kazi rahisi kama unavyo kata gogoUnaongelea Mahaba.
kambi ya "Mshua"
inatafuta Backups.
wakipata Backup
Membe anakuwa President
coz Kuna kila dalili "Jw"
akazimishwa "Kf"
Kabla ya 20
Na sasa hivi Lissu hasemwi tenaNikikumbuka Membe alivyokuwa anatukanwa humu nashangaa leo amekuwa mwokozi!
Ni Ngumu Lakini Ni opt iliyosalia.unaota wewe unafikili ni kazi rahisi kama unavyo kata gogo
Nyie hamkuwahi kuwatukana kina Waitara, Kitila, Lowasa.......? Kinachofurahisha ni kuona jiwe akitikiswa mana anajiona mungu mtu!Team tangatanga bado ipo kazini,imeacha kujenga Chama chao wenyewe sasa kusikia CCM nani agombee.Kibaya hata wale waliokuwa wanawatukana sasa kwao ni lulu.
welcome to the party mr Membe if u are real seriouslisemwalo lipo na kama halipo linakuja, usikate jambo kwa dhana na usikubali jambo kwa kudhani la kweli
unatafuta kuwa DED huku mahakama imezuia kusimamia uchaguzi na kigezo cha ukada kimefutwa rasmi !Team tangatanga bado ipo kazini,imeacha kujenga Chama chao wenyewe sasa kusikia CCM nani agombee.Kibaya hata wale waliokuwa wanawatukana sasa kwao ni lulu.
Nikikumbuka Membe alivyokuwa anatukanwa humu nashangaa leo amekuwa mwokozi!
HatarrrrKuna ripoti ilishawahi kutoka ikionesha kuwa TANZANIA watu wake ni vinara wa UNAFIKI duniani, sitaki kuamini hili moja kwa moja