Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly, lkn CCM watamkata! What next? CDM..NO; ACT?????Tunamsupport akiwa CCM
Mbona kichaa Idd Amini aliongoza Uganda! sembuse Membe ambaye yuko vizuri upstairsHuyo membe kafanya nini la maana mpaka tumpe ukubwa huo kwa sasa watanzania ni fuata upepo
Membe nilikuwa namfuatilia akiwa anajinadi kuwa jimboni kwake 2015. Akawa anaishia kutoa kauli za vitisho tu badala ya kuuza sera zake.Membe ni asset au liability?Upinzani usikubali kufanywa CCM B Tundu Lissu anatosha kabisa.Binafsi naona Membe mnamu overrate Sana.Lissu for President!
Hao viongozi wastaafu wakikutana na Magufuli wanaishia kucheka cheka tu. Hakuna mwenye ubavu wa kumkosoa mbele yake. Unategemea watatenda kinyume na mwenyekiti wao ?Huyu mtu ana support ya viongozi wote wastaafu!
Hawezi kukatwa.
Hivi unadhani viongozi wastaafu watamsupport JPM ili nini kipya kitokee?
Kwenye kura itakuwa tofauti trust me.Hao viongozi wastaafu wakikutana na Magufuli wanaishia kucheka cheka tu. Hakuna mwenye ubavu wa kumkosoa mbele yake. Unategemea watatenda kinyume na mwenyekiti wao ?