Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Na kuna kichaa mwingine anaumwa bipolar disorder bado anaongoza mpaka sasa .mbona kichaa Idd Amini aliongoza Uganda! sembuse Membe ambaye yuko vizuri upstairs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuna kichaa mwingine anaumwa bipolar disorder bado anaongoza mpaka sasa .mbona kichaa Idd Amini aliongoza Uganda! sembuse Membe ambaye yuko vizuri upstairs
Mimi nilisimamia kura za Lowasa, Lowasa alishinda ule uchaguzi ila mfumo haukumkubali!Comrade! Mnata kukubalika na mfumo? Mfumo gani? Mimi nikajua mna mpango wa kukubalika na Wananchi kumbe ni mfumo? Na vipi lowasa alikubalika na mfumo?
Mimi nilisimamia kura za Lowasa, Lowasa alishinda ule uchaguzi ila mfumo haukumkubali!
Mama ako je?
Lissu atoshaMembe ni asset au liability?Upinzani usikubali kufanywa CCM B Tundu Lissu anatosha kabisa.Binafsi naona Membe mnamu overrate Sana.Lissu for President!
exactly, lkn CCM watamkata! What next? CDM..NO; ACT?????
Ninaangaliaga zile picha pale jangwani sina hamu mm jamani
Mzee Mwanakijiji habari mkuu!, hongera naona unaendelea vizuri na majukumu yako katika praising team ya Magufuli.Vipi swahiba wako Dkt Mihogo hajambo!?.Duh...
Lowassa ni wa kuonewa huruma mkuu, yaliyotokea siri yake, mwacheni amalizie maisha yake hapa duniani kwa amani.
Comrade! Mnata kukubalika na mfumo? Mfumo gani? Mimi nikajua mna mpango wa kukubalika na Wananchi kumbe ni mfumo? Na vipi lowasa alikubalika na mfumo?
Membe will be another wasted opportunity, upigaji kama kawa kama enzi za mkwere. magu is still the the right guy to keep on for the next 5 year term, he only needs to refine his attitude towards leadership style and hence better management of the economy
Mkuu 2015 CDM ingemsimamisha Dkt Slaa nchi hii yangetokea mauaji ya kutisha,ila ukweli ambao ni dhahiri Magufuli hakushindaHata kama best...aliaminiwa na roho ngap...ametuuza kiwepesi mno..hv ni kweli roho yake haina huruma basi...tumedeki barabara[emoji28]..mbwembwe zote...binafs naumia sana