Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Comrade! Mnata kukubalika na mfumo? Mfumo gani? Mimi nikajua mna mpango wa kukubalika na Wananchi kumbe ni mfumo? Na vipi lowasa alikubalika na mfumo?
Mimi nilisimamia kura za Lowasa, Lowasa alishinda ule uchaguzi ila mfumo haukumkubali!
 
Tatizo sio Membe, shida Ni mfumo (ccm) ndiyo hatuitaki kuisikia masikioni mwetu ,,, Sisi Membe tutamuunga mkono ila atoke ccm
 
Huyu jamaa tayari mnazidi kumponza kadri mnavyozidi kumpamba

Naona hamjajifunza kwa Lowasa
 
Membe will be another wasted opportunity, upigaji kama kawa kama enzi za mkwere. magu is still the the right guy to keep on for the next 5 year term, he only needs to refine his attitude towards leadership style and hence better management of the economy
 
Lowassa ni wa kuonewa huruma mkuu, yaliyotokea siri yake, mwacheni amalizie maisha yake hapa duniani kwa amani.

Hata kama best...aliaminiwa na roho ngap...ametuuza kiwepesi mno..hv ni kweli roho yake haina huruma basi...tumedeki barabara😅..mbwembwe zote...binafs naumia sana
 
Lissu aweza shinda ila asitangazwe, kama taifa twapaswa mpata mtu mzalendo mwenye uwezo wa ku disintegrate mfumo, upigaji wa kura hauwezi iondoa CCM madarakani
Comrade! Mnata kukubalika na mfumo? Mfumo gani? Mimi nikajua mna mpango wa kukubalika na Wananchi kumbe ni mfumo? Na vipi lowasa alikubalika na mfumo?
 
Aisee mbona hakuna upigaji ila kilio cha hali ngumu kila kona!?,bora ufisadi kuliko Uzalendo wa ugumu wa maisha km huu
Membe will be another wasted opportunity, upigaji kama kawa kama enzi za mkwere. magu is still the the right guy to keep on for the next 5 year term, he only needs to refine his attitude towards leadership style and hence better management of the economy
 
Hata kama best...aliaminiwa na roho ngap...ametuuza kiwepesi mno..hv ni kweli roho yake haina huruma basi...tumedeki barabara[emoji28]..mbwembwe zote...binafs naumia sana
Mkuu 2015 CDM ingemsimamisha Dkt Slaa nchi hii yangetokea mauaji ya kutisha,ila ukweli ambao ni dhahiri Magufuli hakushinda
 
Back
Top Bottom