Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
MEMBE HATOKI ! NIA YAKE INATIMIZWA NDANI YA CCM 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Membe will be another wasted opportunity, upigaji kama kawa kama enzi za mkwere. magu is still the the right guy to keep on for the next 5 year term, he only needs to refine his attitude towards leadership style and hence better management of the economy
Au mkamchukue MaseleAlex...Lowasa ametuumiza vya kutosha..hapana...tumwache tu..Lissu atosha...!usisahau mapema namna hyo best...
Mi nilinunua na TV mpya kabisa nione mzee wetu antakavyoapishwa cleaaar.Hata kama best...aliaminiwa na roho ngap...ametuuza kiwepesi mno..hv ni kweli roho yake haina huruma basi...tumedeki barabara[emoji28]..mbwembwe zote...binafs naumia sana
Hawezi kuwa CCM umemsikia mwenyewe mkia kiduchuTunamsupport akiwa CCM
Nenda mwemyewe Tuko na LISUHapana, nampenda Membe lakini asije tufanya kama Lowasa!
Mimi namtaka tu kama ana uwezo wa kupindua meza akatudondoshea huu utawala wa Ottoman Empire nitamuunga mkono nipo tayari kumfwata alipo amwondoe huyu Subiani anayetutesa kiasi hiki
Mimi namtaka tu kama ana uwezo wa kupindua meza akatudondoshea huu utawala wa Ottoman Empire nitamuunga mkono nipo tayari kumfwata alipo amwondoe huyu Subiani anayetutesa kiasi hiki
Nasema akiwa CCM tumpigie chapuo Jiwe atemwe. sasa hapo tumpamabanishe na Lisu!Nenda mwemyewe Tuko na LISU
Mfumo gani unaouongelea hapa?Sio suala la mtu wa kugombea ila ni suala la mtu atakayepitishwa na mfumo uliopo!