Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Ukiona vitu kama hivi ndio unapoona elimu yetu ina tatizo sana
 
Napendaga watu wanaonionyesha dharau!
Let's see
Mfumo gani unaouongelea hapa?
Probably wewe ni mpinzani au kama ni CCM basi ni yule level ya vijiwe vya gahawa

Ukisikia mtu fulani ni mwenyekiti wa CCM jua yeye ndio hiyo system unayoisema hapo, Lowassa alikua ndio CCM 2015 lakini hakuwa "system", mwenyekiti wa CCM ana zaidi ya kura ya vetal {siongelei kuhusu 2020 sababu is not even debatable qualified} naongelea kuhusu 2025.
 
Alafu hivi Ukimuondoa Magufuli ukamweka Membe ndio umeiondoa ccm ama?

Magufuli anaongoza kwa kufuata mfumo ambao Membe nae akiwa rais ataufuata.

Mbona wapinzani ni vilaza kiasi hiki?
 
JPM anaondolewa kwasababu hajui anachotaka kufanya!
Alafu hivi Ukimuondoa Magufuli ukamweka Membe ndio umeiondoa ccm ama?

Magufuli anaongoza kwa kufuata mfumo ambao Membe nae akiwa rais ataufuata.

Mbona wapinzani ni vilaza kiasi hiki?
 
Mkuu kwani ile sheria inayomtaka mwanachama ili agombee awe kwenye chama kwa miaka miwili haijasainiwa?.
umenikumbusha, imesainiwa hivyo hawzi. na watakachokifanya ni kuwa watamfukuza, then hatagombea popote!
 
Asije akafamya foolish mistakes kama alivyofanya lowasa kukimbia chama ili hali Katiba yetu iko upande wa dola.

Twende na Mambe 2020
 
Tumeshasahu yale ya Lowasaa yaliyotokea? Bora yule wa singida kaendelea kubaki japo hasikiki kivile!!
Chasema hovyo ndio wapigie debe. Benado wa Nini, si Kama yule wa 2005/15. Kusafiri tu na ufisadi wakutupwa
 
Membe ni asset au liability?Upinzani usikubali kufanywa CCM B Tundu Lissu anatosha kabisa.Binafsi naona Membe mnamu overrate Sana.Lissu for President!
Membe tunamuunga mkono huko huko CCM kwake sisi na Lissu mpaka mkoloni mweusi ang'oke.
 
Mkuu mabadiliko ya kweli yanatuhitaji watz wa kawaida kuamka na hawawezi letwa na mwana ccm yeyote.
umenikumbusha, imesainiwa hivyo hawzi. na watakachokifanya ni kuwa watamfukuza, then hatagombea popote!
 
Hilo halina mjadala hata CCM wanaelewa, kachero mbobezi ataingia ikulu2020

Hatuwezi kuwa na Rais asiyejari wananchi wake wanaishije, watumishi wanalialia njaa tu awamu hii,

Ajira hakuna✖
Mishahara haipandi✖
Nani atapanda ndege


Tubebe baba B.Membe 2020✔✔✔
 
Back
Top Bottom