Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Namba tano ndio first na namba mbili itabaki kuwa mbili ila hayo mengine yatabaki kuwa tetesi na mtazamo wako binafsi.
 
M-mbabe, Naona unatoa ushahidi kuwa asipokelewe na kupewa dhamana upinzani huku mwenyewe unatetemeka. Tangu lini umekuwa mshauri mzr wa wapinzani? Hivi kweli adui yako anaweza kukuchagulia siraha ya kutumia wakati wa vita?

Wapinzani wasisikilize hizi propaganda za vitisho. Mtaji wa siasa ni watu tena watu potential. Membe sio mtu wa kumuacha kwenye mtaji huo. Sio kwa sababu Lowasa ametoka basi wengine wote wanafanana naye.

Uzuri wa Membe ni mtu asiye na makashfa makubwa ya ufisadi kama huyo unayemtolea mfano. Muhimu wakimkaribisha, wamfuatilie vzr na kuweka mikakati mzr ya kishama. Tena muda bado upo mwingi sn wa kujipanga tofauti na ilivyokuwa 2015.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MSELA WA MANZESE,
Acha ujinga Membe hawezi kwenda upinzani hata kama amefukuzwa na akienda hawezi kugombea uraisi huko, Membe atakuja kugombea uraisi kupitia ccm 2025.
 
M-mbabe,
Umeona upinzani wajinga kihivo atapokelewa kama mwanachama lkn si kama mgombea.Ila ngoja yawakute ili waelewe wanapokuwa kwenye system wawe wanasikiliza wananchi waonao mbele ili hata wakiwa nje ya system yawafae.Kina Membe,Sumaye,Lowasa na wastaafu wote waliweka pamba waliambiwa kipindi kirefu kofia mbili ni kitanzi kwenu pia kuwe na katiba huru ili ilete usawa awakutaka kuelewa wala kusikia sasa wanaelewa.

Ndo Yale Yale ya mgabe eti anasapoti upinzani ushinde dhidi ya kilichokuwa chama chake hali yeye ndie aliyeweka mfumo mgumu kwa upinzani kushinda hadi akamuuwa Tsavingarai.Huwa nasikia kuelewa hivi waafrika akili wanayo au wanaongozwa na utashi. Check hata wa sasa waliokwenye system badala ya kutengeneza katiba bora ili kesho yao iwe salama wamerudia makosa waliyoyafanya waliostaafu.Mkapa na jk hawana sauti tena chama kimebinafishwa wanatamani yawepo mabadiliko lkn ndo hivo tena system ilishawatupa.

Yatokeayo yote ni makusudi ya Mungu kwamba washashuhudie miba ikiwachoma waliyoipanda wakiwa madarakani.Ukipanda miba njiani kesho itakuchoma
 
Acha ujinga Membe hawezi kwenda upinzani hata kama amefukuzwa na akienda hawezi kugombea uraisi huko, Membe atakuja kugombea uraisi kupitia ccm 2025.
Kama ilivo sasa ndivo itakavokuwa 2025 na kuendelea.Mwenye chama siku akichoka atampa amtakae atakaemlinda.
 
Membe ni mtego huo umetegwa na ccm ili aje avuruge upinzani kwani washakubaliana 2025 agombanie yy kwani hii miaka mitano amuachie magufuli kwahiyo wameamua wamfukuze ili iwe chambo na ukitizama kwa undani membe hawawezi kumfukuza chama kwani membe ndio ccm kuliko hao waliomfukuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe ni mtego huo umetegwa na ccm ili aje avuruge upinzani kwani washakubaliana 2025 agombanie yy kwani hii miaka mitano amuachie magufuli kwahiyo wameamua wamfukuze ili iwe chambo na ukitizama kwa undani membe hawawezi kumfukuza chama kwani membe ndio ccm kuliko hao waliomfukuza

Sent using Jamii Forums mobile app

Du. Hiyo ya membe ndo ccm sijui umeitoa wapi na vigezo vipi. RIP Kingunge.
 
Hakuna cha mtego wala nini huyo ndiyo amelikoroga wacha alinywe mwenyewe Sisi mgombea wetu ni Tundu Lissu basi. Huyo Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu lakini tutamgaragaza vibaya mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawashauri wanasiasa kuhusu siasa zao wakati wao ndio wenye kuzielewa na kuziishi,wao wenyewe wanajua vizuri wanachokifanya sie huku wafuasi tu na hatuna athari yeyote na ndiyo maana hatukuwahi kufikiri kama upinzani wangemchukua mtu kama Lowassa ila walifanya hivyo na huku tukabaki kukubali na kuanza kushabikia.
Sasa na mara hii tena tunajifanya tunawashauri hawa watu.
 
3) Ukilinganisha kati ya Lowasa vs Membe utaona Lowasa alikuwa na political base kubwa na imara kumzidi Membe. Lakini bado alishindwa na baada ya kushindwa alinyong'onyea na hatimaye kurudi zizini (CCM).
2015 lowasa alishinda uchaguzi PERIOD.
 
Aisee huwa nashindwa kuelewa kabisa maana huwa tunaambiana kuwa ccm hushinda kwa kutumia jeshi la polisi mara sijui kwa sababu tume ya uchaguzi sio huru. Sasa hizi mbwembwe za kusajiri watu upinzani wanaotokea ccm ni za nini?
 
M-mbabe,
Naunga mkono hoja,na nitashangaa sana kama kuna mpinzani yoyote atataka Membe agombee kupitia upinzani, wakati alipokuwa CCM ndio alikuwa anafanya juhudi kubwa ili upinzani ufe hasa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom