Upinzani utapata nguvu zaidi na huenda ukawa mwisho wa CCM

Kama ulishindwa kushamiri enzi za Mkwere mpaka mkambeba Lowasa, sasa hivi sahauni
 
Wishful
Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia.

Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia.

Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa

Namuona Mzee wetu na Seth wakitolewa gerezani

Naona uchunguzi wa vifo vya utata Na mashambulio yakichunguzwa

Naona serikali ya umoja wa kitaifa.

Kwa mbaali naiona Tanzania mpya
Wishiful thinking!
 
Upinzani uwe makii sana ndani ya muda huu mfupi, sio lissu wala yeyote yule kuna ile huruma ya watanzania, kama watacheza karata zao kwa nia ya kuendelea kuongea mabaya ya jpm au ehata kumgusa tu basi watapuuzwa vibaya mno kwa kigeuziwa kibao.
waongee hoja watafanya nini na sio kuponda vya jpm.
Hawa wameshapuuzwa tayari!! Hata heshima kidogo waliyokuwa wanapewa imeyeyuka. Wamejipambanua kuwa ni vibaraka wa mabeberu!! Wengine walipaswa kuhurumiwa kwa waliyopitia lakini si kwa usaliti huu!!
 
Tuache siasa za lawama twende siasa za hoja ndiyo pumua yetu upinzani pia LISSU zile tambo zake za ajabu aache alete hoja
 
Upinzani uwe makii sana ndani ya muda huu mfupi, sio lissu wala yeyote yule kuna ile huruma ya watanzania, kama watacheza karata zao kwa nia ya kuendelea kuongea mabaya ya jpm au hata kumgusa tu basi watapuuzwa vibaya mno kwa kigeuziwa kibao.
waongee hoja watafanya nini na sio kuponda vya jpm.
GT
 
niwakumbushe tu hawa wapinzani wangu wa upepo.

JPM ni marehemu sasa,ukimsakama hakuna atakayekuelewa.
 
Kwa mbaali
Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia.

Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia.

Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa

Namuona Mzee wetu na Seth wakitolewa gerezani

Naona uchunguzi wa vifo vya utata Na mashambulio yakichunguzwa

Naona serikali ya umoja wa kitaifa.

Kwa mbaali naiona Tanzania mpya
 
Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia.

Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia.

Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa

Namuona Mzee wetu na Seth wakitolewa gerezani

Naona uchunguzi wa vifo vya utata Na mashambulio yakichunguzwa

Naona serikali ya umoja wa kitaifa.

Kwa mbaali naiona Tanzania mpya
Mama kama atamsikiliza JK ataongoza nchi vizuri sn
 
Siko chama chochote ila niseme tu

Kitabaki kuwa na nguvu

Chama cha kijani kamwe hakitakaa kiondoke madarakani never ever unless otherwise kivunjike chenyewe

Hauitaji elimu na mchanganuo kujua hili
CCM inaweza kuondoka madarakani lakini sio kwa kizazi cha wanasiasa hawa.....
 
Upinzani uwe makii sana ndani ya muda huu mfupi, sio lissu wala yeyote yule kuna ile huruma ya watanzania, kama watacheza karata zao kwa nia ya kuendelea kuongea mabaya ya jpm au hata kumgusa tu basi watapuuzwa vibaya mno kwa kigeuziwa kibao.
waongee hoja watafanya nini na sio kuponda vya jpm.
Maovu ya huyu mtu hayatasahaulika mapema.
 
Back
Top Bottom