Mwenzenu kapewa masharti tayari aweza kurudi lakini ataendelea kuwa mtazamaji tu.Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia.
Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia.
Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa
Namuona Mzee wetu na Seth wakitolewa gerezani
Naona uchunguzi wa vifo vya utata Na mashambulio yakichunguzwa
Naona serikali ya umoja wa kitaifa.
Kwa mbaali naiona Tanzania mpya
Yule alikua na ukatili wa asilia nakumbuka 2015 jina lake lilipotangazwa kuwa mgombea rasmi mwanahabali mmoja wa kike alienda kumuhoji mama yake magu, nakumbuka mwishoni yule mama alisema namnukuu "lakini mtamuweza? "aaaa weee
aaa wapi,
Jiulize Magu nguvu aliipatia wapi ya kukandamiza
Ccm tupeni katiba mpya na sio hii ya kidikteta.Nchi ni mali ya walipa kodi na sio ya mtu binafsi.
Lissu atamzika John. This life ain't fairNitamchagua yeyote ila sio kibaraka wa mabeberu, Never!
Upinzani uwe makii sana ndani ya muda huu mfupi, sio lissu wala yeyote yule kuna ile huruma ya watanzania, kama watacheza karata zao kwa nia ya kuendelea kuongea mabaya ya jpm au hata kumgusa tu basi watapuuzwa vibaya mno kwa kigeuziwa kibao.
waongee hoja watafanya nini na sio kuponda vya jpm.
Umenikumbusha mbali sana.Hongera.Bandiko lako lanikumbusha kisa kimoja nilisimuliwa nikiwa mdogo. Mandhari ya kisa hicho ni usukumani huko.
Katika kijiji au Mjibu mmoja lilitokea zimwi lililoitwa Shing'weng'we zimwi hilo lilikula watu wote na kumbakiza mama mmoja tu mjamzito aliyefanikiwa kujificha kwa Kudra ya Mungu.
Mama yule alipojifungua, ulipata mtoto wa kiume. Alimlea na kukua vizuri. Mtoto alipopata uwezo wa kutafakari alimuuliza mama yake kwanini wapo wawili tu? Mama alimsimulia kisa chote yule mtoto.
Baada ya kupata taarifa zile mtoto aliapa kumsaka zimwi yule na kummaliza. Mama alimkataza mwanaye bila mafanikio. Kijana alitengeneza silaha za jadi imara na kuziimarisha alizozikuta na kujifunza kuzitumia pia.
Kijana yule alikuwa kila akiuwa mnyama anakwenda kumuonesha mama yake huku akiimba "Mayo mayo namulago Shing'weng'we, amalila bhanu Shing'weng'we " mama yake ulifika na kumwambia siyo.
Kijana aliendelea hivyo mpaka siku alipo likuta zimwi lenyewe. Mpambano ulikuwa mkali sana. Kwa tabu sana na uwezo wa Mungu kijana alishinda na kulipwa zimwi. Alimuita mama yake na kuthibitisha kuwa ndio Shing'weng'we. Kijana alianza kulikatakata.
Kwa ajabu walianza kutoka watu waliomezwa na Shing'weng'we wakiwa hai na Furaha tele huku wakimpongeza kijana yule pamoja na mama yake.
Atakuwa ccm huyo.Au unaleta propaganda za Polepole umu.Lissu sijui kaongea nini?Kuna vijana wadogo wameonesha chuki kubwa sana kwake nikastuka.
Kuna binti hakuwa kabisa na mwelekeo wowote wa siasa amefikia kusema anatamani aingie kwenye siasa apambane na Lussu kwa maumivu aliyopata kusikia kauli za Lissu wakati huu.Ajabu binti huyo hajawahi kusaidiwa chochote,na baadhi ya ndugu zake walipotezwa na watu wasiojulikana.
Kuna huruma wanayo watanzania hadi nimeshangaa.Sikutegemea
Wivu Wa nini ndugu?.Wakenya tuliowaona wambea, hawatupendi wanaionea wivu Tanzania
🥶🥶aaaa weee
aaa wapi,
Jiulize Magu nguvu aliipatia wapi ya kukandamiza