Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,726
- 18,241
ikataba ya gizani ni mifupi.aaaa weee
aaa wapi,
Jiulize Magu nguvu aliipatia wapi ya kukandamiza
Tulia weweeeeNdoto za alinacha
Mnamuapisha lini sasa?Amna cha umakini..... Nani analitaka dubwasha ccm...
Tundu Lissu ndo rais tuliyemchagua watz
Wishiful thinking!Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia.
Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia.
Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa
Namuona Mzee wetu na Seth wakitolewa gerezani
Naona uchunguzi wa vifo vya utata Na mashambulio yakichunguzwa
Naona serikali ya umoja wa kitaifa.
Kwa mbaali naiona Tanzania mpya
Hawa wameshapuuzwa tayari!! Hata heshima kidogo waliyokuwa wanapewa imeyeyuka. Wamejipambanua kuwa ni vibaraka wa mabeberu!! Wengine walipaswa kuhurumiwa kwa waliyopitia lakini si kwa usaliti huu!!Upinzani uwe makii sana ndani ya muda huu mfupi, sio lissu wala yeyote yule kuna ile huruma ya watanzania, kama watacheza karata zao kwa nia ya kuendelea kuongea mabaya ya jpm au ehata kumgusa tu basi watapuuzwa vibaya mno kwa kigeuziwa kibao.
waongee hoja watafanya nini na sio kuponda vya jpm.
GTUpinzani uwe makii sana ndani ya muda huu mfupi, sio lissu wala yeyote yule kuna ile huruma ya watanzania, kama watacheza karata zao kwa nia ya kuendelea kuongea mabaya ya jpm au hata kumgusa tu basi watapuuzwa vibaya mno kwa kigeuziwa kibao.
waongee hoja watafanya nini na sio kuponda vya jpm.
😂 😂 😂 😂Umenikumbusha viongozi wasiotunza kauli zao na wale wanao jitoa ufahamu tena wale tunao dhani ni wasomi
Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia.
Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia.
Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa
Namuona Mzee wetu na Seth wakitolewa gerezani
Naona uchunguzi wa vifo vya utata Na mashambulio yakichunguzwa
Naona serikali ya umoja wa kitaifa.
Kwa mbaali naiona Tanzania mpya
Mama kama atamsikiliza JK ataongoza nchi vizuri snNamuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia.
Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia.
Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa
Namuona Mzee wetu na Seth wakitolewa gerezani
Naona uchunguzi wa vifo vya utata Na mashambulio yakichunguzwa
Naona serikali ya umoja wa kitaifa.
Kwa mbaali naiona Tanzania mpya
CCM inaweza kuondoka madarakani lakini sio kwa kizazi cha wanasiasa hawa.....Siko chama chochote ila niseme tu
Kitabaki kuwa na nguvu
Chama cha kijani kamwe hakitakaa kiondoke madarakani never ever unless otherwise kivunjike chenyewe
Hauitaji elimu na mchanganuo kujua hili
Scandal za ufisadi sasawanachama wa chadema watakuwa huru maana walikuwa wanaonekana wahaini.
Maovu ya huyu mtu hayatasahaulika mapema.Upinzani uwe makii sana ndani ya muda huu mfupi, sio lissu wala yeyote yule kuna ile huruma ya watanzania, kama watacheza karata zao kwa nia ya kuendelea kuongea mabaya ya jpm au hata kumgusa tu basi watapuuzwa vibaya mno kwa kigeuziwa kibao.
waongee hoja watafanya nini na sio kuponda vya jpm.
.....
Naona serikali ya umoja wa kitaifa.
Kwa mbaali naiona Tanzania mpya