Upinzani utapata nguvu zaidi na huenda ukawa mwisho wa CCM

Mwenzenu kapewa masharti tayari aweza kurudi lakini ataendelea kuwa mtazamaji tu.
 
Mama Samia asiwasikilize wahuni wa CCM yeye aende na Katiba na utawala wa sheria

Wazalendo uchwara ndio wanaovuruga Uchaguzi wanaoshauri Viongozi vibaya halafu wanajificha kwenye miundombinu
Wanajenga kulomita moja ya Reli wanauwa Wapinzani watatu hebu fikiria wakija maliza network ya Reli Nchi nzima kutakuwa na mpinzani aliyebaki?

Tundu Lissu kaa Mkao wa kula ili utuvushe
 
aaaa weee
aaa wapi,
Jiulize Magu nguvu aliipatia wapi ya kukandamiza
Yule alikua na ukatili wa asilia nakumbuka 2015 jina lake lilipotangazwa kuwa mgombea rasmi mwanahabali mmoja wa kike alienda kumuhoji mama yake magu, nakumbuka mwishoni yule mama alisema namnukuu "lakini mtamuweza? "
 
Lissu sijui kaongea nini?Kuna vijana wadogo wameonesha chuki kubwa sana kwake nikastuka.
Kuna binti hakuwa kabisa na mwelekeo wowote wa siasa amefikia kusema anatamani aingie kwenye siasa apambane na Lussu kwa maumivu aliyopata kusikia kauli za Lissu wakati huu.Ajabu binti huyo hajawahi kusaidiwa chochote,na baadhi ya ndugu zake walipotezwa na watu wasiojulikana.

Kuna huruma wanayo watanzania hadi nimeshangaa.Sikutegemea
 
Umenikumbusha mbali sana.Hongera.
 
Atakuwa ccm huyo.Au unaleta propaganda za Polepole umu.
Kama ni wewe ungelikuwa umepigwa Risasi zote hizo km alivyopigwa Lissu ungesemaje?
Acheni roho mbaya na uzandiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…