Upinzani wa Tanzania ni wa vimatukio, Rais Samia ameumaliza kisayansi

Ndio maana vyama vyenu vya upinzani vinakosa muelekeo maana sizani Kama kwa mawazo hayo mnaweza saidia kutoa mawazo ya kuimarisha vyama vyenu
Unaaibisha ukoo wenu.Katafute hata kazi ya kuuza vinywaji baa.Tena huna haja ya kununua viatu virefu.Kimo chako kinatosha kutungua bia kaunta.
 
Mbona wewe upo hapa muda wote unaandika ,hizo kazi zako unafanya saa ngapi na muda upi, sisi wakulima Hatulimi usiku
 
Athari za elimu bure na elimu ya shule za kata! ambapo serikali kwa makusudi imeweka madaraja kwa watanzania kisiasa kwa kutumia elimu.
Community schools
State owned schools
religious institution's owned schools
Privately owned schools! inahitaji elimu kubwa kufahamu hili na athari yake kwa jamii yetu ya kitanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…