Mwansembo elly
Member
- Mar 28, 2014
- 38
- 27
Sasa mkuu hasara na faida zake ni zipi? ebu wajuvi wa mambo watudadavulie.Kwa mujibu wa kiongozi wa malaika, wapinzani ni kikwazo cha maendeleo. So ni bora kuwaachia wao ili tuone hayo maendeleo
[emoji23][emoji23][emoji23]Nikikumbuka zile ngebe za akina Lord deninning na kundi lake humu nacheka sana
Wasuse tu, hizo nafasi CCM watafurahia kuzijaza bila kupoteza muda, kwani walivyosusa 2019 uchaguzi wa serikali za mitaa kilitokea nini?
"Ukisusa wenzio wala"Wawachie tu wabaki wao maana vyama vingine kwao sio vyama.
Kiti kimoja cha ubunge!!! Aisee, na kelele zote hapa mtandaoni!!! Poleni sana.Wawachie tu wabaki wao maana vyama vingine kwao sio vyama.
Baada ya Tume-CCM na Polisi-CCM kufanya mliowatuma.Kiti kimoja cha ubunge!!! Aisee, na kelele zote hapa mtandaoni!!! Poleni sana.
Kichaa ni yule alieagiza asiowapenda wahujumiwe na wehu wakatekeleza.Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.
Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.
Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Mkuu nenda taratibu bado mbele pana kona kali sana na Simba wametanda kila mahali na chini pana mto wenye mamba wengi sana sidhani kama mtavuka salamaKiti kimoja cha ubunge!!! Aisee, na kelele zote hapa mtandaoni!!! Poleni sana.