Uchaguzi 2020 Upinzani wakisusia Ubunge/Udiwani, nini kitatokea? Hasara au faida?

Habari wana JF,

Ni swali la kujiuliza.

Endapo ikatokea wapinzani wote nchini wakashauriana katika kikao chao kinachosadikikia kuwepo leo kuwa, wabunge na madiwani wao wote waliopata nafasi katika uchaguzi huu kususia na kutoingia sehemu zao za kazi Je, nini kiatokea?

Nini faida na Hasara za uamuzi wa aina io kwa Taifa kama taifa na watanzania kwa ujumla.

Je, kuna hasara gani au faida watazipata upinzani?

Je, faida au hasara zipi kwa chama tawala?

Nawasilisha kwa utiiiifu🙏
Wasusie kwani wapo bungeni au udiwanini? Wanasusaje kitu hawana?
 
Hata waliposusia bunge mijadala ilijadiliwa na kupitishwa, sheria zilipitishwa. Labda kwa kususa saiv kuna jambo litabadilika. Waliochaguliwa wakafanye kazi walizotumwa na wananchi
Kwani Bunge likiwa la chama kimoja kazi ya Wananchi haitafanyika??
 
Mnashupaza mishipa ya shingo eti wasuse, wakishasusa then what!? Kuna chochote kitabadilika?
Ni tabia ya kitoto sana eti kujinunisha ila mzazi akuoneaa huruma. Hakuna atakae kuoneeni huruma kwa kususa huko, jadilianeni mfikie mwafaka wenye kuleta tija ila sio upuuzi wa kususa
Kwani wakisusa wewe unateseka!?
 
Kwani Bunge likiwa la chama kimoja kazi ya Wananchi haitafanyika??
Kumbe hakukuwa na sababu ya kuundwa hata hivyo vyama shindani kama chama kimoja kinaweza kutekeleza majukumu. Ally kesy kuna upuuzi aliufanya ndo maana wananchi wamemtoa kidemokrasia.
 
Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.

Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.

Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Vichaa ni wale wote wanaofahamu ukweli namna uchaguzi ulivyoendeshwa halafu wanakaa kimya.

Hata wewe P ukweli unaufahamu vema lkn tatizo lako siku hizi ni kwamba, unahitaji kuwafurahisha Wenye Mamlaka wakati huo huo ukiwahurumia Raia walio wengi.
 
Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.

Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.

Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Nilikuwa nadhani una akili ya kuwazua mambo ya kisiasa, kumbe najidanganya! Hata tafsiri sahihi ya chama kudhamini mgombea imekupita kando. Usaliti ni nini hasa katika mazingira ya utawala unaoliliwa na damu za raia wasio na hatia, kosa lao ni kudai haki yao!
 
Endelea kucheka na kufurahia Mkuu ,sisi ni Binadamu na Siku hazigandi ukija wakati wako wa kulia usistuke.
Hakuna cha kulia wala kucheka, kma walikiwamo hao waliotupwa nje lakini bado mlikuwa mnalia pia.
Twambie kama ulikuwa unacheka miaka mitano iliyo pita?
 
Kwani Bunge likiwa la chama kimoja kazi ya Wananchi haitafanyika??
Kumbe hakukuwa na sababu ya kuundwa hata hivyo vyama shindani kama chama kimoja kinaweza kutekeleza majukumu. Ally kesy kuna upuuzi aliufanya ndo maana wananchi wamemtoa kidemokrasia.
 
Habari wana JF,

Ni swali la kujiuliza.

Endapo ikatokea wapinzani wote nchini wakashauriana katika kikao chao kinachosadikikia kuwepo leo kuwa, wabunge na madiwani wao wote waliopata nafasi katika uchaguzi huu kususia na kutoingia sehemu zao za kazi Je, nini kiatokea?

Nini faida na Hasara za uamuzi wa aina io kwa Taifa kama taifa na watanzania kwa ujumla.

Je, kuna hasara gani au faida watazipata upinzani?

Je, faida au hasara zipi kwa chama tawala?

Nawasilisha kwa utiiiifu🙏
Itakuwa safi sana. Tanzaniania itakuwa kama urayaaaaa espeshali Arusha itakuwa kalifonyaaa na Moshi itakuwa City na Iringa itakuwa kitovu cha utalii nchini.
 
Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.

Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.

Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P

Unazeeka vibaya we mzeee afu umri wa teuzi kwako ushapita achana na aya mambo ya propaganda za kishamba.
Jikite kwa ajili ya kujenga nchi ya wajukuu zako baadae mzee tetea maslah mapana ya taifa lako sio kutafuta teuz kijinga iv
 
Mnashupaza mishipa ya shingo eti wasuse, wakishasusa then what!? Kuna chochote kitabadilika?
Ni tabia ya kitoto sana eti kujinunisha ila mzazi akuoneaa huruma. Hakuna atakae kuoneeni huruma kwa kususa huko, jadilianeni mfikie mwafaka wenye kuleta tija ila sio upuuzi wa kususa
Wasiposusa then what?

Mbona unalalamika kama mtoto ndugu yangu?
 
Hata waliposusia bunge mijadala ilijadiliwa na kupitishwa, sheria zilipitishwa. Labda kwa kususa saiv kuna jambo litabadilika. Waliochaguliwa wakafanye kazi walizotumwa na wananchi
hahaha lile bunge la katiba liliishaje?
 
Kumbe hakukuwa na sababu ya kuundwa hata hivyo vyama shindani kama chama kimoja kinaweza kutekeleza majukumu. Ally kesy kuna upuuzi aliufanya ndo maana wananchi wamemtoa kidemokrasia.
Mwenye Mamlaka hataki kusikia Upinzani. Sasa kwanini asiachiwe yeye Mwenyewe na Chama chake?
Sote tumeshuhudia Wapinzani walivyonyanyaswa na Vyombo vyenye mamlaka. Kisa kumfurahisha asiyetaka kukosolewa wala kushauriwa.
 
Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.

Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.

Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Pascal Mayalla utambue pia mwenye akili anayeenda kuwakilisha wapinzani katika kura ya 2/300 atakuwa ana matatizo ya akili kudhani atakuwa na hoja ya kuungwa mkono na hao 300 walio kinyume chake.
 
Swali fikirishi.
Vyama vyote vya upinzani vikiamua kukaa kimya bila kujihusisha na siasa yaan wafute vyama vyao na waachane na ajira za siasa watapunguziwa nn?
 
Habari wana JF,

Ni swali la kujiuliza.

Endapo ikatokea wapinzani wote nchini wakashauriana katika kikao chao kinachosadikikia kuwepo leo kuwa, wabunge na madiwani wao wote waliopata nafasi katika uchaguzi huu kususia na kutoingia sehemu zao za kazi Je, nini kiatokea?

Nini faida na Hasara za uamuzi wa aina io kwa Taifa kama taifa na watanzania kwa ujumla.

Je, kuna hasara gani au faida watazipata upinzani?

Je, faida au hasara zipi kwa chama tawala?

Nawasilisha kwa utiiiifu🙏
Itakuwa vyema kama watajitoa na sio kususia kwa sababu:
1. Wakikubali matokeo katika majimbo waliyoshinda na kukataa katika yale waliyoshindwa wataonekana wanafiki.
2. Wataupa uhalali uchaguzi wote ambao wameishatangaza kuwa haukuwa wa haki.
3. Watawanyima fursa ya maendeleo wananchi wa majimbo yao maana wameishaambiwa kuwa ingawa siasa haina chama, hauwezi kupeleka chakula kwa jirani wakati watoto wako wanakufa njaa.
4. Watatoa uhalali kwa mabadiliko yeyote ya Katiba ambayo yatafanyika kwa kuonekana kama vyama zaidi ya viwili ( CCM na CUF) vimeshiriki.
5. Watabebeshwa lawama kwa matatizo yeyote yatakayotokea huko mbele kwa kuambiwa uwepo wao ndio umezuia hayo maendeleo.
6. Ukiona mtu aliyefanya juhudi kubwa kuhakikisha kuwa haupo kabisa anabadilika dakika ya mwisho na kukubembeleza mbakie katika uchache wenu fahamu hakutakii mema.
7. Kwa sababu mtu unagombea ubunge ili upate nafasi ya kuweza kuwasemea waliokuchagua bungeni, kama ukiona nafasi hii haitakuwepo, basi ni bora ujitoe. Wote tuliona jinsi wabunge wa upinzani walivyokuwa wakitendewa pamoja na kuwa idadi yao ilikuwa sio haba.
8. Siasa na kuwatetea wananchi sio lazima uwe bungeni tu. Hata nje ya bunge inawezekana tu.

Amandla....
 
Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.

Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.

Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Hoja lako linatia kinyaa bora utulie tu.
 
Mnashupaza mishipa ya shingo eti wasuse, wakishasusa then what!? Kuna chochote kitabadilika?
Ni tabia ya kitoto sana eti kujinunisha ila mzazi akuoneaa huruma. Hakuna atakae kuoneeni huruma kwa kususa huko, jadilianeni mfikie mwafaka wenye kuleta tija ila sio upuuzi wa kususa
Kama kususa kwao hakutakubadilishia kitu, kwa nini unaumia hivyo? Kama hawataonewa huruma si itakuwa bora zaidi kwako? Uamuzi watakaofikia ni ule watakaoona una tija kwao na wafuasi wao, wewe haukuhusu.

Amandla...
 
Kususa hakujawahi kuwasaidia wapinzani Tz

Hili linafikirisha sana
Mbona 2015 tulifanyiwa figisu pia lakini hakuna mbunge aliyesusa kuapishwa sababu lowassa na wabunge wengine waliibiwa kura?
 
Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.

Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.

Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Kweli paskali uko sahihi hata Kama wajumbe siyo watu wazuri.
Jambo la kujadili hapa ni kwamba hao chadema wanaopaswa kususia ubunge wako wapi?
Au wanachama wote na viongozi wote wa chadema Tanzania nzima wanakaa kikao kumjadili mtu mmoja tu ajitoe ubunge? Wana akili kweli hao watu?
Tunajua Mbowe alikuwa anachukua sehemu ya mishahara ya wabunge na alikuwa anakusanya mabillion. Sasa anaona mbunge mmoja Hana faida nae Tena Sasa anataka kuanza wivu kwa huyu mwanamama eti ajitoe, akijitoa mmoja Ana effect gani? Wangekuwa 50 Mbowe angekubali kusikia wazo la kujitoa ili akose mishahara yao?
Katiba ya Chadema inalazimisha wabunge wa kuchaguliwa kutoa laki 5, viti maalum kutoa 1560000 kila mwezi kwa chama na Mbowe huwa anatumia anavyojua yeye. Bunge liliopita alishutumiwa kutafuna 8.9bilion mishahara ya wabunge.
Hiyo ndiyo saccos, ila nina uhakika wakimlazimisha kumtoa ubunge kupitia chadema atahamia CCM na atashinda maana watu wa nkansi walichagua mtu siyo chama.

Kipigo Cha shoga mwizi mwaka huu wamekipata.
P
 
Back
Top Bottom