Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kuleni tu kwani shida iko wapi?"Ukisusa wenzio wala"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuleni tu kwani shida iko wapi?"Ukisusa wenzio wala"
Mkuu ni haki yao kikatiba, waingie bungeni kuwawakilisha wapiga kura wao lakini hawatakuwa na impact yoyote katika maamuzi yatakayofikiwa bungeni. Ndiyo maana waliowengi hawaoni umuhimu wa uwepo wao hapo. Honestly wabunge 2 wa majimbo kati ya 265 km sijakosea idadi , ni dhihaka kwa Watanzania. Ni bora libakie kuwa Bunge la chama kimoja 100%Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.
Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.
Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Wabakiee wao tuuuAkitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.
Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.
Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Kweli kabisa.Wapinzani mnafanya nchi iwe masikini .
Mnashupaza mishipa ya shingo eti wasuse, wakishasusa then what!? Kuna chochote kitabadilika?Kuleni tu kwani shida iko wapi?
Hata waliposusia bunge mijadala ilijadiliwa na kupitishwa, sheria zilipitishwa. Labda kwa kususa saiv kuna jambo litabadilika. Waliochaguliwa wakafanye kazi walizotumwa na wananchiWabakiee wao tuuu
Ukichaa wa mtu unaupimaje ? Wakati huna elimu au sio mtaalamu wa magonjwa ya akili ?Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.
Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.
Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Msitulazimishe kushirikisha na watu kama nyie mlio kama makaburuMnashupaza mishipa ya shingo eti wasuse, wakishasusa then what!? Kuna chochote kitabadilika?
Ni tabia ya kitoto sana eti kujinunisha ila mzazi akuoneaa huruma. Hakuna atakae kuoneeni huruma kwa kususa huko, jadilianeni mfikie mwafaka wenye kuleta tija ila sio upuuzi wa kususa
Sasa mkuu hasara na faida zake ni zipi? ebu wajuvi wa mambo watudadavulie.
Faida ni kua Tanzania itakua kama Marekani kwa sababu hakuna atakaepinga "maendereo"Habari wana JF,
Ni swali la kujiuliza.
Endapo ikatokea wapinzani wote nchini wakashauriana katika kikao chao kinachosadikikia kuwepo leo kuwa, wabunge na madiwani wao wote waliopata nafasi katika uchaguzi huu kususia na kutoingia sehemu zao za kazi Je, nini kiatokea?
Nini faida na Hasara za uamuzi wa aina io kwa Taifa kama taifa na watanzania kwa ujumla.
Je, kuna hasara gani au faida watazipata upinzani?
Je, faida au hasara zipi kwa chama tawala?
Nawasilisha kwa utiiiifu🙏
Bahati mbaya we unajadili kishabiki, cna upande nnaoshabikia. Pia hamlazimishwi kuungana nao. Kwenda bungeni mbunge alochaguliwa sio kuungana na wanaccm labda kma akiunga juhudi. Ila anaingia bungeni kutimiza wajibu wake. Licha ya hayo yote, wakisusa, wakienda bungeni hatma itabaki kuwa ni ile ileMsitulazimishe kushirikisha na watu kama nyie mlio kama makaburu
Nawashauri wasisuse bali waingie kazini kama moja ya chanzo cha mapato yao ili kuendelea kukusanya nguvu kwaajili ya kujiimarisha.Habari wana JF,
Ni swali la kujiuliza.
Endapo ikatokea wapinzani wote nchini wakashauriana katika kikao chao kinachosadikikia kuwepo leo kuwa, wabunge na madiwani wao wote waliopata nafasi katika uchaguzi huu kususia na kutoingia sehemu zao za kazi Je, nini kiatokea?
Nini faida na Hasara za uamuzi wa aina io kwa Taifa kama taifa na watanzania kwa ujumla.
Je, kuna hasara gani au faida watazipata upinzani?
Je, faida au hasara zipi kwa chama tawala?
Nawasilisha kwa utiiiifu[emoji120]
Mbona mnateseka sana na wapinzani kujitoa? Wakati mnafanya kampeni CCM lengo lenu si ilikuwa kupata 100% ya viti bungeni? Sasa imagine lengo lile linatimia. You should be happy.Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.
Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.
Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Ukichaa wa mtu unaupimaje ? Wakati huna elimu au sio mtaalamu wa magonjwa ya akili ?
Je? ushawahi ona viongozi wa serikali wenye hali ya ukichaa
Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.